Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

Usiende vuruga ndoa za watu. Subiri mtoto akikua mtu mzima atakutafuta
 
Kwa Wakurya Sisi tuna kamsemo,

"Ng'ombe yako ikija kuzalia kwenye Zizi langu, Huyo ndama Si wako!"

Na mwenye ng'ombe Hupotezea, na inaisha hivyo hivyo! Kimya kimya!

Kwetu Sisi Kitanda hakizai haramu!

Tena ukisogeza pua! Kudai mtoto... ...uhai wako umeuweka rehani!

Uliza kwanza kama huyo MUME NI MKURYA!.. AU LA...KAMA NI TATOOO... (Na amemtolea mahari)...KAA MBALI KABISA NA HUYO MTOTO! Ama huyo Mke....SIO WAKO wote hao! UTAPOTEZA MAISHA!
 

Umeona huyo mwanamke anafaidi na wewe unataka ukaolewe huko. Nendeni wote mkaolewe.
 
Mura weito oyoo ataighwee khana

Tigha aghende kohakwa amaghuta
 
Tulia mtoto afike chuo akutafuta.. je hauna mtoto sasa hivi? kwani wewe una uwezo wa kumlea anavyolelewa na Baba yake huyo? DNA umeisha chekisha kupata uhakika?

Wanawake wengine unena kutia hasira na maumivu. Hakikisha mengi kabla ya kwenda kujitia aibu na punguza hasira kwa sasa.
 
Ulikuwa wapi kinpindi hicho,
Kwanini sasa
Huoni wanafamilia tayari
Dhamira yako nini baada ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…