Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

haikufanyi kua baba lakini
 
Nenda katafute matatizo na mtoto hutampata. Kwanza dhana ya uhalali wa ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971 huyo mtoto ni wa ndoa halali mpaka uthibitishe vinginevyo, sheria ya ushahidi ya Tanzania (TEA)inakataa ushahidi wowote kwa mtu aliyezini na mke wa mtu kudai umiliki wa mtoto. Naishia hapo
 
Huyo ni Israel anakuita! Hata sisi huko kwenye hiyo taasisi tuna watoto wetu wengi sana na hatudai
 
Je kama mimba ilitangulia
 
We mjuba tulia, utaharibu ndoa ya watu. Wenzio wanaozaa kwenye maboma ya watu hutulia hadi mama mtoto akiwashe mwenyewe ndoani kwa kutoa siri kuwa baba mtoto ni wa nje, si wa ndani ya ndoa. Au usubiri mpaka huyo mtoto awe mtu mzima anayejitegemea ndio ujitokeze wazi kudai mtoto wako, hapo inakuwa hakuna ugomvi ndoani maana mwenye ndoa atakuwa ni mzee na hana makeke
 
As long as mama mtu hakusumbui na masuala ya gharama za malszi ya mtoto wewe tilia mkazo kwenye maisha yako. Ukiwa stable financially mama mtu anamwambia mtoto baba ake ni nani na mtoto mwenyewe atakutafuta mwenyewe. Hawa wakina diamond waliwakataa baba zao kwa sababu baba hana hela. Unafikiri baba diamond angekua ndio Lugumi huyo diamond angemkataa baba ake
 
Sema tu ukweli kuwa ulipoambiwa kuhusu mimba ukachanja mbuga, sasa ndio nafsi inakusuta.

Kila la kheri kwa lolote litalotokea.
 
ACHA UJINGA KAPIME DNA WEWE WANWAKE WAMDOA WAKIAMUA KUZAA NJE YA NDOA HATA WEWE WALA MUMEWE YAWEZEKANA SIO MMLIKI
M KAMYULIZE DADAYANGU WEWE

WANWAKE

WANAWAKE

WANAWAKE

NARUDIA MBE VYENYE AKILII SANAAA

NDIO MAANA BAIBO INASEMA ISHINI NAO KWAA AKILI..SIO MAKALIO..UJUE WANA AKILI ZA KUTO SHA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…