Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

Kuna bint nilimkuta na mimba tukakubaliana akabadil ubin nikamlea now anamiaka 12 afu aitokeze mshenz kama wewe anataka mtoto haki ya mungu naua wote kuanzia mama na mtu kama wewe anabak mtoto hv unajua kulea mtoto wa mtu ni gari sana
 
Muulize mimba ilivyoingia aliise?shahawa za moto au baridi?
 
Si aongee na mama mtoto kwanza amskize anasemaje anakuripukaje kwenda kwenye ndoa zawatu?????

ni kama ana usongo wa kumpata huyo mtoto bila kusema kinachomsibu now maishani juu ya kifamilia yake yeye..
 
Njoo tukulawiti bosi hadi nawe upate Mimba.

Pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…