Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

SAKA25

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
12
Reaction score
22
Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
 
Attachments

Kwa anejua utaratibu wa kutuma maombi kwa njia ya posta naomba anisaidie, Maana sisi wengine form 4 hatuna uzoefu
Mbona maelezo yako wazi kwenye tangazo?

Omba kaka Ajira 700 NI NYINGI SANA kwa kipindi hiki ambacho kuna uhaba wa ajira, Hebu fikiria ukiwa mmoja wa hao 700..

Omba fasta, kidato cha nne mnahitajika sana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyie ni muhimu kama ilivo maafisa.
 
Pamoja na kuwa na division 4 pia bila ya CV ya kupitia JKT ni kupoteza muda tu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom