Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lonja mkuu au unahisi tu hvo?Ngoja tusikilizie jumaatatu mambo yanaweza kua wazi
Lkn interview zilishafanyika na waliopita wanajijua mzewHapana sio lonja kaka....nimesema tuu maaana daaah jamaa wamekula muda mwingi sana
Mikoani sawa, je waliotuma maombi makao makuu DODOMA?Lkn interview zilishafanyika na waliopita wanajijua mzew
Si wanaweka kwanza ndugu zao, bado tupo nyuma Sana kimaamuzi, angekuepo legend jp mpaka Sasa mkeka ungekuwa ushawekwa kitambo Sana.Duuuuuuh......magereza wanazingua aisee hadi leo majina hakuna..??????? Wanachosha bana watoe tujue moja
Duuuuuuh......magereza wanazingua aisee hadi leo majina hakuna..??????? Wanachosha bana watoe tujue moja
hamna ktu kama hcho mzee, mbna mkeka wa walimu awamu ya pili enz za jp hujatoka mbaka keshoSi wanaweka kwanza ndugu zao, bado tupo nyuma Sana kimaamuzi, angekuepo legend jp mpaka Sasa mkeka ungekuwa ushawekwa kitambo Sana.