Heri yao, wapo wenzangu na Mimi sio wafungwa wala sio nusu wafungwa LAKINI kupeleka tonge kinywani ni mtihani, achilia mbali pa kula na pakulala.Hii ndio ile wanaita nusu mfungwa
Mbona maelezo yako wazi kwenye tangazo?Kwa anejua utaratibu wa kutuma maombi kwa njia ya posta naomba anisaidie, Maana sisi wengine form 4 hatuna uzoefu
Kati ya hizo 400 zshajazwa na ndugu zao ,tafuten connectionJeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
Hapana!!!!!!Hii ndio ile wanaita nusu mfungwa
Pamoja na kuwa na division 4 pia bila ya CV ya kupitia JKT ni kupoteza muda tu.Mbona maelezo yako wazi kwenye tangazo?
Omba kaka Ajira 700 NI NYINGI SANA kwa kipindi hiki ambacho kuna uhaba wa ajira, Hebu fikiria ukiwa mmoja wa hao 700..
Omba fasta, kidato cha nne mnahitajika sana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyie ni muhimu kama ilivo maafisa.
Kazi ni kazi ilimradi mkono ufike kinywaniHapana!!!!!!
Ni Rahisi Askari Magereza Kuwa Mfungwa, Kuliko Mfungwa Kuwa Askari Magereza.
Kazi Ni Kazi Muhimu Iwe Halari
Tuombe Kazi Nzuri Ukiipata Mbaya Ukiikosa
Mbona sifa za muombaji zi wazi kama jua la saa sita mchanaPamoja na kuwa na division 4 pia bila ya CV ya kupitia JKT ni kupoteza muda tu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
DuhKati ya hizo 400 zshajazwa na ndugu zao ,tafuten connection
Daah mchawi jkt tu cjui nijaribu na cheti changu cha skauti hahahaDuh
Wewe omba, connection unayo sawa.. huna connection we omba tu usiwaze
Mungu Yupo, na Kupata Kuna Mungu.
Jkt ndiyo KIPENGEREDaah mchawi jkt tu cjui nijaribu na cheti changu cha skauti hahaha
Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini