Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

Wakubwa mwenye sample nzuri ya cv jmn naomba
 
Mkuu kuna mambo ni vizuri kuyarekebisha kwenye hii cv kama hutojali
1. Ondoa link za fb na twitter hizo sio muhinu sana proffsionally ibaki linkedin na email
2. Katika kipengele cha interest Ondoa Gamming na Movie ni vitu ambavyo vinaweza kuwa negative kwa baadhi ya waajiri
3. Kwenye kipengele cha elimu nimeona umeandika Bsc in CS ni vizuri ukiandika vyote kwa urefu na sio ufupisho
 
Fact to note
 
Naomba nitumie tsup ndugu yangu hapa nashindwa kuifungua 0716985498
 
Leo umefanyika kwa wale baba kanituma
Toka usaili ufanyike mpaka leo hii, hii ni wiki ya 3 Magereza hawajatoa pdf ya majina wnangoja Nini ? Kama sio kuweka ndugu humo .Ajira bongo kazi kweli Bora kwenda kulima.
 
Toka usaili ufanyike mpaka leo hii, hii ni wiki ya 3 Magereza hawajatoa pdf ya majina wnangoja Nini ? Kama sio kuweka ndugu humo .Ajira bongo kazi kweli Bora kwenda kulima.

Bado usaili kwa wenye taaluma haujafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…