Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Lile jambo letu ndiyo sababu kubwa inayomfanya mzanzibari mwanamke kumuogopa sana mwamba na kuamua kumtafutia nafasi huko WHO ili awe mbali.
Na kumfanya mshauri wake wa afya na sasa mama kapungua tofauti na miaka miwili nyuma
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
nadhani atakua amepata experience muhimu zaidi juu ya namna chaguzi za kimataifa na kampeni zinavyofanywa,

hata hivyo,
kati ya wanaogombea ni yupi na wa nchi gani alifanya tafiti au kazi za kimataifa na walau ni mkurugenzi wa hospital I kuu ndani ya taifa lake?🐒
 
Mkuu hilo jina lako linamaanisha nini?
Covid 19 ni aina ya ugonjwa wa mafua na kifua uliosumbua sana dunia 2020 hadi 2022..
Kipindi cha covid 19 dunia uchumi uliyumba na nchi nyingi sana zilifunga mipaka yake..

Binafsi uchumi wangu uliyumba sana na nilipoteza karibu kila kitu na nikaanza upya ndio maana natumia hili jina humu kama kumbukumbu ya ule ugonjwa uliokwenda na mwendazake..
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Wapo wagombea wangapi? Unajua TZ mpaka leo tunatembelea nyota ya Nyerere kimataifa, anaweza kushinda!
 
nadhani atakua amepata experience muhimu zaidi juu ya namna chaguzi za kimataifa na kampeni zinavyofanywa,

hata hivyo,
kati ya wanaogombea ni yupi na wa nchi gani alifanya tafiti au kazi za kimataifa na walau ni mkurugenzi wa hospital I kuu ndani ya taifa lake?🐒
Huyo mbugila hawezi kutoboa gentleman. Hata akiloga huko kwao hawezi.

Daktari gani kwanza hana afya? Shirika la afya limpe ulaji mtu asie na afya? Wewe uliwahi ona wapi?
 
Back
Top Bottom