Kwa msisi yetu
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 844
- 1,450
JK kimbelembele cha nini mzee hatukuona mbwembwe hizi kwa Ndugulile huyu mzee atamfelisha dr.
tupe ushahidiMwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Apate tu jamani.Prof lazima aangukie pua
Tumuombee apateApate tu jamani.
sasa utakunyaje hapa? si bora ungesema utakunya kutoka mtaa fulani hadi mtaa fulani?HUYO JANABI AKISHINDA NAKUNYA HAPA JAMII FORUM MPAKA KULE FACEBOOK....WHO SIO CCM YA KURITHISHANA KIKOMBE...AKANYEE MBELE NA SAMIA WAKE
Hiyo sio hoja, hoja ni nafasi yake kushinda ni nyembamba sana ,sawa mwanaccmMwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Wacha bhwanah! Hivi kweli hulielewi?Hilo jambo lenu ni lipi?
Je ni dhambi kupiga ramliRamli chonganishi.
Hii inanikumbusha hadithi ya watani Fulani kwamba wapo tayari "kuuza ngombe Kwa Kesi ya kuku" na Sisi kama nchi kutumia mamilioni ya fedha na heshima ya nchi kumtafutia kazi mtu moja.Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Sawa. Sasa ngoja tusubiri.Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
🤷🤷🤷Na lile Jambo letu!
KabisaInternational exposure muhimu Sana kwenye hizi kazi UN/WHO
Heko Mgombea toka RwandaMwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Anatembea na mpiga debe wake! Kwanini? Hajiamini?Wapo wagombea wangapi? Unajua TZ mpaka leo tunatembelea nyota ya Nyerere kimataifa, anaweza kushinda!