Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Ana siri nyingi na hili TAIFA,, na ni mtendaji wa hali ya juu hasa pale anapo pewa maagizo na mabosi wake,,, SI MTU WA KUBEZA HATA KIDOGO,,, kila lakheri prof mshikaji sanaaa na JAKAYA
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!

Angeongezea kadi ya mboga mboga
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Hujui siasa za kikanda na ukanda

Kaa kimya
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Wanatumia nguvu kubwa kuuza usiyeuzika kama Sa100
 
Hamna siasa mule. Sifa za kitaaluma ndo zinakubeba. Mwele Malecela hakupigiwa kampeni kama huyu
Jidanganye

Mwelle didn’t vie for the position ya top who Afro

Huko nyuma tulikua na winnie mpanju Shumbusho

Na akina neema walikuja kupewa nchi
 
Mwele alienda wapi baada ya NIMR? na kabla ya kwenda Geneva alikua wapi?
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
🤣🤣🤣🤣😭😭😭Na Lile jambo Letu Duuuu😭😭😭😭🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom