Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

Mwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kazibeni sasa.Hakuna hali mbaya kama umaskini.Imewafanya wavimba macho wengi kuwa bitter wenye fitina na majungu na roho za kwanini.Profesa Janabi ameshinda tena kwa margin kubwa.
 
Back
Top Bottom