Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

HUYO JANABI AKISHINDA NAKUNYA HAPA JAMII FORUM MPAKA KULE FACEBOOK....WHO SIO CCM YA KURITHISHANA KIKOMBE...AKANYEE MBELE NA SAMIA WAKE
sasa utakunyaje hapa? si bora ungesema utakunya kutoka mtaa fulani hadi mtaa fulani?
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Hiyo sio hoja, hoja ni nafasi yake kushinda ni nyembamba sana ,sawa mwanaccm
 
Alisema tusile
Mayai
Nyama
Mkate
Samaki
Biriani
Mtindi
Energy drink
Wali
Ugali
Chapati
Pia Tusifanye maziezi
Huyu mzee ni wakumzoom sana
 
Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Hii inanikumbusha hadithi ya watani Fulani kwamba wapo tayari "kuuza ngombe Kwa Kesi ya kuku" na Sisi kama nchi kutumia mamilioni ya fedha na heshima ya nchi kumtafutia kazi mtu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…