Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Aaaa mapema tu. Wewe ukiangakia utaona jinsi wanavyo mtake care, wamempa hospitali kubwa ile anaiongoza na kila anachotaka anapewa kaamua kuivunja yote anaijenga upya. Na msoga anaenda naye bega kwa bega kuzurura africa kumuombea kuraOhaaaaaa kumbe jamaa ndio alibonyeza nywiiiiiiiii ikazima
Kumuua Magufuli,Hilo jambo lenu ni lipi?
Hapa sasa nimeamza kusoma vizuriAna siri nyingi na hili TAIFA,, na ni mtendaji wa hali ya juu hasa pale anapo pewa maagizo na mabosi wake,,, SI MTU WA KUBEZA HATA KIDOGO,,, kila lakheri prof mshikaji sanaaa na JAKAYA
Hashindi, ni upotevu wa muda na matumizi mabaya ya Kodi za Watanzania .Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Dah aiseeKumuua Magufuli,
Hapa ndio huwa naamini Kupata Div. I ya PCM hakukuzuii kutapeliwa na Watu kama Mwijaku....Magufuli alikubalije daktari wa Kikwete akawe daktari wake?
Sawa. Asiposhinda yeye atashinda mwingine. Siamini kama Serikali ya Tanzania I asema LAZIMA ashinde Prof. Janabi.Mwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Daaaah!Kumuua Magufuli,
Hapa ndio huwa naamini Kupata Div. I ya PCM hakukuzuii kutapeliwa na Watu kama Mwijaku....Magufuli alikubalije daktari wa Kikwete akawe daktari wake?
Huyu kishapigwa Ngwara. Kwanza hiyo nafasi sio ya Urithi kwa watanzaniaMwamba hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Kila Ntu na NtuweJK kimbelembele cha nini mzee hatukuona mbwembwe hizi kwa Ndugulile huyu mzee atamfelisha dr.
Muulize YogaHilo jambo lenu ni lipi?
Rylie I. Tupo UkumbiniMwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
Mama! 😁😁😁Hilo jambo lenu ni lipi?
Huyu si ndo alituondolea lile joka la chato. Shukrani kwakeMwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!