Smart Eagles
Member
- Feb 6, 2025
- 22
- 45
Au sioMchana unamnunulia chakula na hela ya nauli kila siku?
Kama sio kwenye hiyo mia na themanini,ushaambiwa internet bure😁Mchana unamnunulia chakula na hela ya nauli kila siku?
Au sio😁Subiri nimuite mtetezi wa mishahara Yoda aje kudeal na mtu wake
Swali la msingi, vinginevyo hii ni kazi ya manamba na utumwa tu. Labda kama kuna commission kutokana na kiasi cha mauzo.Mchana unamnunulia chakula na hela ya nauli kila siku?
Kigezo awe mkali tu, smart na awe na tako kubwa, ajue kutumia simu na computer mengine mtamuelekeza ofisini au sio? Basi sawa watakujaMaombi yatumwe kupitia Whatsapp no
+255758616614
Duh,Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale maana kuna wateja wanachosha.
Umesema vyema! Mishahara midogo wanahisi ni kwa wafanyakazi wa ndani tu, kuna shamba boys na wachunga ng’ombe wanalipwa pesa ndogo tu na haijawahi kuongelewa popote!Si tulikubaliana mishahara midogo hapa Tanzania wanalipwa Wasaidizi wa majumbani pekee? Namna gani tena hapa mnataja 180,000/=
Seran
Na hapo watajazana mnoo kupiga simu kuomba hyo kazi..lakini wakiwa hapa JF wanaponda. Tena hyo 180,000 chakula anajitegemea,kodi alipo panga na pia bill mbalimbali alipie,Umesema vyema! Mishahara midogo wanahisi ni kwa wafanyakazi wa ndani tu, kuna shamba boys na wachunga ng’ombe wanalipwa pesa ndogo tu na haijawahi kuongelewa popote!
Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣Na hapo watajazana mnoo kupiga simu kuomba hyo kazi..lakini wakiwa hapa JF wanaponda.
Na beer atakunywa lol 😆Na hapo watajazana mnoo kupiga simu kuomba hyo kazi..lakini wakiwa hapa JF wanaponda. Tena hyo 180,000 chakula anajitegemea,kodi alipo panga na pia bill mbalimbali alipie,
Mshahara ni mdogo lakini sijaona tatizo. Kuna watu wanajitolea huko serikalini na hawalipwi hata 100 mbaya zaidi hawaajiriwi pia, bora huyu anayelipa hata hiyo 180.Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale maana kuna wateja wanachosha.
MAJUKUMU
1. Kukata tiketi za SGR kwa wateja wanaofika ofisini na wanaopiga simu (utaelekezwa).
2. Kuwaunganisha wateja wanaohitaji huduma ya internet ili kupata huduma hiyo kwenye simu zao.
3. Kukusanya malipo kwa wateja wetu wanaolipa kila siku. Wewe unapita tu ofisini kwao, unachukua hela unaleta ofisini, wale wabishi unakuja kuwaripoti.
Mshahara ni 180,000/=
Ofisi kali sana, full AC na internet yenye kasi kama yote unatumia hadi unachoka.
Maombi yatumwe kupitia Whatsapp no
+255758616614
NB: Lazima ujue kiswahili fasaha na kiingereza, pia uwe smart kuanzia akilini hadi mwonekano.
Ofisi iko Morogoro mjini.