Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

Inaumiza lakini ukweli usemwe, hivi mnazani wale wadada wa stationery, vibanda vya kutoa hela[airtel money, m-pesa nk] wanalipwa sh ngapi?
Nadhani wengi wao zile zinakuwa ni biashara zao, wamejiajiri
 
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.

Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.

Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale maana kuna wateja wanachosha.

MAJUKUMU
1. Kukata tiketi za SGR kwa wateja wanaofika ofisini na wanaopiga simu (utaelekezwa).
2. Kuwaunganisha wateja wanaohitaji huduma ya internet ili kupata huduma hiyo kwenye simu zao.
3. Kukusanya malipo kwa wateja wetu wanaolipa kila siku. Wewe unapita tu ofisini kwao, unachukua hela unaleta ofisini, wale wabishi unakuja kuwaripoti.

Mshahara ni 180,000/=
Ofisi kali sana, full AC na internet yenye kasi kama yote unatumia hadi unachoka.

Maombi yatumwe kupitia Whatsapp no
+255758616614

NB: Lazima ujue kiswahili fasaha na kiingereza, pia uwe smart kuanzia akilini hadi mwonekano.

Ofisi iko Morogoro mjini.
Benefits ni ofisi Kali sana na free wifi 🤔🤔🤔🤔
 
Ukimpata huyo binti mzuri na smart, niunganishe naye ili tugawane majukumu ya kumhudumia. Pasipo kufanya hivi, kwa hiyo posho ya 180 kutoboa mwezi ni ngumu.
 
Back
Top Bottom