Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,116
Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??Mkuu, tatizo ni serikali ya Danganyika. Hapo unakuta ni muongozo wa wizara ya vibarua na ajira.
Wao wanadhani wakiwaambia wageni hivyo, basi zile OC na marupu rupu wanayopeana serikali, ndio yapo huko Binafsini.
Kama 5.3m ni basic, bila supportive package, ni ndogo kidogo.
Tanesco, Tanapa, Jwtz, TRA, Tanroads, GEPSA, Ewura, etc afisa wadogo tu wanachukua hiyo 5m kama basic
Labda EWURA, TANAPA na hao GEPSA sababu sijawahi kuwa nao karibu na wala sijawahi fanya nao kazi!,The rest ni story tu