Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Kweli Mkuu hiyo kazi ni ngumu kwa mujibu wa job descriptions yake!
Usiogope Kazi Mkuu.
Hakuna kazi Ngumu hapo yakufanya kwa 36hours per week.

Hayo majukumu yapo hivyo mahali kwingi, wenzetu huwa wanaandika kila kitu, ndio maana inaonekana heavy!!
 
Nilikuwa napokea 3.9M 2014 plus telephone allowance and other allowance,note hiyo Ni ,2014 leo 2023 hauwezi kunilipa hicho kiasi actually nilishaachana na ajira rasmi 2018 ,wakati naacha hiyo ajira yangu my salary Gross was 6.7M
Mwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?
 
Endapo una uhakika na umri wa wengi hapa, uko sahihi kuhitimisha hivi.

Unadhani kwa position iliyotajwa, wanahitajia FRESH FROM SCHOOL kama ulivyojaribu kumaanisha kwa kusema anayeanza?

Hiyo nafasi, sio ya wanafunzi, jaribu kulinganisha hiyo nafasi na zifananazo huko TRZ ulikosema wametoka 900,000 mpaka 1,800,000 kisha uje uniambie scale ya mishahara ya wale Principals/Wakuu wa vitengo au section hapo hapo TRA, tuone kama wana hiyo 1.8m

Hitimisho lako ni wazi mdomo umetapakaa asali.

Usiwe mbishi mkuu. Kubali kujifunza. Kuna mambo watu tunashadadia tu ila uhalisia ni tofauti na vile inavyoaminishwa.
 
Usiwe mbishi mkuu. Kubali kujifunza. Kuna mambo watu tunashadadia tu ila uhalisia ni tofauti na vile inavyoaminishwa.
Nitafutie mtumishi mmoja mmoja wa TCRA, aliyesoma Telecom, atutajie basic yake, kisha ujue nani ni mbishi na nani anapaswa kukubali kujifunza hapa!
 
Mwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?
Kaka member since 2015 unataka nikujibu nini ,Kama unahisi huo Ni mshahara mkubwa ujue una shida sehemu nimeanza kula six digit 2011.
 
Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??

Labda EWURA, TANAPA na hao GEPSA sababu sijawahi kuwa nao karibu na wala sijawahi fanya nao kazi!,The rest ni story tu
Unajua salary ya captain wa jeshi ww?
 
Tumeni salary slip bila ya hivyo Zitakuwa ni story tu za vijiweni
Asante sana kiongozi! Wanadhani hatuna ndugu wanaofanya kazi huko! CDF mwenyewe ana 15M! Sema tu yeye kila kitu ni free!! Mshahara wake na allowances haziguswi
 
Tumeni salary slip bila ya hivyo Zitakuwa ni story tu za vijiweni
Unaweza share Salary Slip ya mshahara wa Captain wa Jeshi?? Ziba sehemu ambazo zinaweza leta shida
 
Back
Top Bottom