Hahahah halafu watu wamekazana hela ndogo wakati hapo bado kuna house allowance, transport allowance, simu, bima ya afya kubwa na recreation unagharamiwa na ofisi.
Yani baada ya statutory charges kama PAYE na NSSF hela inayobakia yote inatulia tuli kwenye account. Wewe ndani ya mwaka account haiwezi pungua 50M wakati mnyabumbu anateseka miaka 15-20 kufikisha hio hela kwenye account yake.
Hakuna mahali pazuri pa kufanyia kazi kama kwenye ofisi ya mzungu bana. Asikwambie mtu yani utaona wenzio wote kama wanafanya vibarua tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]