Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Sasa hata deductions haujui then umekaza shingo ,kwa huo uwelewa sijui shule ulienda kufanya nini,
Uko poor kidogo kwenye kazi za aina hii.
Sema umekariri vitu vingi.
Hapo juu ulianza kusema NGO NGO...

Sasa nakwambia hizo deduction zako utabaki nazo huko huko.
 
Nimesoma vizuri hayo majukumu, ni makubwa sana kuliko hiko kipato, hapo jamaa wanatafuta cheap labour

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Majukumu huwa yanakuwa hivyo siku zote.
Ni wamekuandikia kila kitu.
Na kazi kwa wiki ni Saa 36.

Uzito zaidi unauona kwenye nini?
Kwenda kazini 7:30am hadi 3:30pm.
Then Friday unafanya only 5hours.
 
Tatizo haujawahi kufanya Kazi kwenye hizo international organization , international organization like usaids,uk, embassy, refugees council,UN agency , world banks,imf, and other like hizo terms zao huwa hazitofautiani Sana ndio maana narefer Sana kwenye NGO,na Ni very simple kumove within those organization sababu Mara nyingi donors wa funds Ni hao hao
Narudia acha kukariri mambo.
 
Uko poor kidogo kwenye kazi za aina hii.
Sema umekariri vitu vingi.
Hapo juu ulianza kusema NGO NGO...

Sasa nakwambia hizo deduction zako utabaki nazo huko huko.
Hiyo nilioattach Ni baadhi ya maelezo ya hiyo kazi Sasa Kama haukwenda shule kuuza maandazi utaelewa Kama hiyo position Ina deductions au mshahara Hauna deductions
Screenshot_20230430-165309.jpg
 
Ngoja nikupe elimu kidogo,kwenye hizi international NGO,kwa mtu ambaye Ni budget holder like kwenye hiyo position huyo candidate atakuwa ana manage almost more than 12B Tsh sio pesa kidogo, yapitie hayo majukumu vizuri utaelewa kwenye NGO mshahara wa 5m Ni wa kawaida Sana.tatizo haujawahi kuwa na mshahara unaoanzia 6 digits .
Nakupa shule nyingine hiyo position wasingeweka hiyo salary grade wangepokea maombi mengi Sana, but kwa kuweka hiyo grade inalimit watu kuomba kwa huo mshahara hawezi kupata hata project manager kutoka Ngo Kama ,care international,pact,path,plan international and other ngos kuomba sababu hiyo salary
Narudia Tena mshahara wa 5m kwenye international organization Ni mshahara wa chini sana
Maana yake wewe walipwa kuzidi hiyo pesa tajwa?
 
Employees who are not liable to pay local income tax on their Mission salary may have their salaries reduced by the equivalent local income tax amount.

Tafsili isiyo rasmi
Kama haupo kisheria kulipa Kodi ya mapato ya ndani kutoka kwenye huo mshahara Basi mshahara wako utapunguzwa mfanano na hizo Kodi za ndani ,means Kama makata ya ndani ambayo ulitakiwa kulipa Ni laki Saba bus mshahara wako utapunguzwa kutoka 5.3M to 4.6m
 
Sasa hapo huo mshahara una deductions au Hauna
 
Back
Top Bottom