Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Sasa unakua muongo jombaa.
Serikali za wenzetu huwa wanaweka wazi Mishahara, Na hiyo sio Organization ni Government Institution(department), hata Wamarekani wanafanya hivyo pia.

So acha kujiproud huo mshahara haunaaa...
Endelea kukalili kaka ,nimekwambia 2014 nilikuwa napata hicho kiasi by the way Sina mshahara kwa Sasa hivi but najipa gawio kila mwisho wa mwaka plus allowance ukisema najisifia pia Ni sawa na Nina vijana wakutosha ninao walipa mishahara
 
Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.

Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.

Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
Ngoja nikupe elimu kidogo,kwenye hizi international NGO,kwa mtu ambaye Ni budget holder like kwenye hiyo position huyo candidate atakuwa ana manage almost more than 12B Tsh sio pesa kidogo, yapitie hayo majukumu vizuri utaelewa kwenye NGO mshahara wa 5m Ni wa kawaida Sana.tatizo haujawahi kuwa na mshahara unaoanzia 6 digits .
Nakupa shule nyingine hiyo position wasingeweka hiyo salary grade wangepokea maombi mengi Sana, but kwa kuweka hiyo grade inalimit watu kuomba kwa huo mshahara hawezi kupata hata project manager kutoka Ngo Kama ,care international,pact,path,plan international and other ngos kuomba sababu hiyo salary
Narudia Tena mshahara wa 5m kwenye international organization Ni mshahara wa chini sana
 
Taasisi kibao kibao wanachukua hiyo tena ndogo kaangalie kama TCRA ,EWURA
Ndio point yangu mkuu, tena hao TCRA niliwasahau aisee, kuna dogo alikuwa anakunja 4m kipindi cha magu, hakuwa hata kwenye supervisory position, sasa kaachiwa kitengo, sijajua bado ana pocket kiasi gani.

Hazina huko, Meal allowances ni 750k
 
Anabisha huyo madogo ni fresh graduates wapo kweny probation wanashika mil 4 eti manager na uzoefu wake akose 5mil anachekesha sana😂😂
 
Anabisha huyo madogo ni fresh graduates wapo kweny probation wanashika mil 4 eti manager na uzoefu wake akose 5mil anachekesha sana[emoji23][emoji23]
Tatizo vijana wengi sababu ya kokosa ajira uwezo wa kufikiri umekuwa mdogo ukimwambia 5m anaona nyingi kweli Tena kwenye managerial position,ukweli huo ni mshahara mdogo Sana,Sasa wakitoa hiyo hivi hapo telephone allowance si inaweza kuwa 100k
 
Anabisha huyo madogo ni fresh graduates wapo kweny probation wanashika mil 4 eti manager na uzoefu wake akose 5mil anachekesha sana[emoji23][emoji23]
Ni kweli aisee... Just imagine mtu upo safarini toka january mpaka leo, bado posho zingine za ofisi unazipata kama kawaida, na huko safarini hutumii hata senti, bado mshahara e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikupe elimu kidogo,kwenye hizi international NGO,kwa mtu ambaye Ni budget holder like kwenye hiyo position huyo candidate atakuwa ana manage almost more than 12B Tsh sio pesa kidogo, yapitie hayo majukumu vizuri utaelewa kwenye NGO mshahara wa 5m Ni wa kawaida Sana.tatizo haujawahi kuwa na mshahara unaoanzia 6 digits .
Nakupa shule nyingine hiyo position wasingeweka hiyo salary grade wangepokea maombi mengi Sana, but kwa kuweka hiyo grade inalimit watu kuomba kwa huo mshahara hawezi kupata hata project manager kutoka Ngo Kama ,care international,pact,path,plan international and other ngos kuomba sababu hiyo salary
Narudia Tena mshahara wa 5m kwenye international organization Ni mshahara wa chini sana
Mbona umekazana na NGO?

hiyo kazi ni ya NGO?
Umekariri sana jombaa
 
Mbona umekazana na NGO?

hiyo kazi ni ya NGO?
Umekariri sana jombaa
Tatizo haujawahi kufanya Kazi kwenye hizo international organization , international organization like usaids,uk, embassy, refugees council,UN agency , world banks,imf, and other like hizo terms zao huwa hazitofautiani Sana ndio maana narefer Sana kwenye NGO,na Ni very simple kumove within those organization sababu Mara nyingi donors wa funds Ni hao hao
 
Back
Top Bottom