Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Hapo kuna ukubwa gani wa Kazi Mkuu.
Working Hours ni 36 per Week??

Working hours sio tuu ukubwa wa kazi. Unachokifanya kwa kutumia akili pia, scope ya kazi pia.

Inaweza kua working hours ya 5 ila uka attend vitu vikubwa kuliko working hours ya 12 hrs

Sema mimk niliishia la saba labda sijui mambo ya waliosoma
 
VIJANA MNA MAWAZO YA KISHAMBA SANA
Endapo una uhakika na umri wa wengi hapa, uko sahihi kuhitimisha hivi.

Unadhani kwa position iliyotajwa, wanahitajia FRESH FROM SCHOOL kama ulivyojaribu kumaanisha kwa kusema anayeanza?

Hiyo nafasi, sio ya wanafunzi, jaribu kulinganisha hiyo nafasi na zifananazo huko TRZ ulikosema wametoka 900,000 mpaka 1,800,000 kisha uje uniambie scale ya mishahara ya wale Principals/Wakuu wa vitengo au section hapo hapo TRA, tuone kama wana hiyo 1.8m

Hitimisho lako ni wazi mdomo umetapakaa asali.
 
UK embassies and High Commission world wide kwa locals wanalipa salary ndogo sana. Hizi balozi taabu kweli, maana kazi ndogo ndogo unaweza kuta kapewa mtu wa kwao, ila salary ya mtu wa kwao hapo utakuta $ 20,000 per month ( Salary + allowances inclusive) Ila Locals tena professional ndio $ 2,000 basi..!!
 
Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??
Mkuu, kwani maana ya manager ni nini? Au manager kwa huko TRA inamaanisha nini?

Inawezekana nimechanganya maana, sio mbaya!

Baada ya mishahara ya TRA kuwa consolidated, manager wa ngazi gani anayechukua 5m?
 
Umesema Afisa wa kawaida which means ni Tax Officer, Custume Officer, Ambaye anakua chini ya Managar wakitengo husika!!

Lakini ukisema 5M ni salary za wakuu wa Idara...

JWTZ nako sio kwamba wana Salary kubwa sana
1. Luteni Usu
2. Luteni
3. Captain
4. Meja
5. Luten Kanali
6. Kanali
7. Brigadia General
8. Meja General
9. Luteni General
10. General
11. Field Mershal

Salary ya CDF haifiki hata 20M kwa taarifa yako sasa
 
UK embassies and High Commission world wide kwa locals wanalipa salary ndogo sana. Hizi balozi taabu kweli, maana kazi ndogo ndogo unaweza kuta kapewa mtu wa kwao, ila salary ya mtu wa kwao hapo utakuta $ 20,000 per month ( Salary + allowances inclusive) Ila Locals tena professional ndio $ 2,000 basi..!!
Sasa vipi na Serikali yetu huko kimataifa?
 
Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.

Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.

Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
Malipo sio masaa tu, aina ya kazi inahusika pakubwa. Kazi zote ni muhimu ila hazina maslahi sawa. Kuna wanamichezo wanalipwa nyingi zaidi kwa kuwa uwanjani dk 90 mara 2 kwa wiki.
 
Mkuu, kwani maana ya manager ni nini? Au manager kwa huko TRA inamaanisha nini?

Inawezekana nimechanganya maana, sio mbaya!

Baada ya mishahara ya TRA kuwa consolidated, manager wa ngazi gani anayechukua 5m?
Taasisi kibao kibao wanachukua hiyo tena ndogo kaangalie kama TCRA ,EWURA
 
Naona wewe una shida ya lugha jombaa.
Umenielewa nilichoandika kwa bongo fresh ila kama kuishi nje sio fresh ....Acha kukurupuka .
post inaonyesha eneo la kazi ni Dar ila ntakuwa mnaenda nchi kama Mozambique so sio kesi still ni Bongo.

Ila kwa mshahara wa kuishi nje ya nchi ndogo sana bora ubebe box.
 
Back
Top Bottom