Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nilikuwa napokea 3.9M 2014 plus telephone allowance and other allowance,note hiyo Ni ,2014 leo 2023 hauwezi kunilipa hicho kiasi actually nilishaachana na ajira rasmi 2018 ,wakati naacha hiyo ajira yangu my salary Gross was 6.7M
Ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu, pitia profile yako 2014 ulikuwa umeomba kazi ya Accountant Heifer na DANIDA
 
Ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu, pitia profile yako 2014 ulikuwa umeomba kazi ya Accountant Heifer na DANIDA
Sahihi unajua kwann niliondoka huko kote nimeanza kufanya Kazi NGO 2008 and toka 2008 nimefanya kwenye NGO zaidi ya tano Hadi naacha ajira,kwa taarifa yako heifer nilipata issue Ni salaries danida nilikosa kazi ,kwenye hizi ngo the way unavyomove ndio salaries inaongezeka ,mfano 2009 na Tisa my salary was 700k,next move nilikwenda kuchukua 1.2M nilimove Tena to 2.6M
Naweza kusema nimekulia kwenye hizo NGO kwa kipindi kirefu
 
Ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu, pitia profile yako 2014 ulikuwa umeomba kazi ya Accountant Heifer na DANIDA
Usitegemee kuwa kwenye taasisi moja Basi utapanda salary hapana Kama unashinda chumbani hauwezi kujua sitting room Kuna nini,ukitaka kufanikiwa kwenye hizi ngo tafuta kazi Mara kwa Mara nakupa Siri hiyo mfano ngo nyingi za kimarekani ukiwa unahamia kwao huwa wanataka ur previous salary slip ili wajue unakula ngapi wakuongee
 
Duh! Ogopa Mungu na Technology
Sasa hapo nilichosema uongo Ni kipi 2014 tayari nipo kwenye ajira muda mrefu hizo kazi niliomba kutafuta malisho mazuri ndio maana niliacha ajira kipindi wewe unatatuta ajira by the way nimeacha ajira nipo nimeajiri vijana
 
Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.

Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.

Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
Hahahah halafu watu wamekazana hela ndogo wakati hapo bado kuna house allowance, transport allowance, simu, bima ya afya kubwa na recreation unagharamiwa na ofisi.

Yani baada ya statutory charges kama PAYE na NSSF hela inayobakia yote inatulia tuli kwenye account. Wewe ndani ya mwaka account haiwezi pungua 50M wakati mnyabumbu anateseka miaka 15-20 kufikisha hio hela kwenye account yake.

Hakuna mahali pazuri pa kufanyia kazi kama kwenye ofisi ya mzungu bana. Asikwambie mtu yani utaona wenzio wote kama wanafanya vibarua tu. 🤣🤣🤣
 
Hahahah halafu watu wamekazana hela ndogo wakati hapo bado kuna house allowance, transport allowance, simu, bima ya afya kubwa na recreation unagharamiwa na ofisi.

Yani baada ya statutory charges kama PAYE na NSSF hela inayobakia yote inatulia tuli kwenye account. Wewe ndani ya mwaka account haiwezi pungua 50M wakati mnyabumbu anateseka miaka 15-20 kufikisha hio hela kwenye account yake.

Hakuna mahali pazuri pa kufanyia kazi kama kwenye ofisi ya mzungu bana. Asikwambie mtu yani utaona wenzio wote kama wanafanya vibarua tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamua watukana walimu kwa makusudi
 
Back
Top Bottom