KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
- Thread starter
- #161
Watch Out Mkuu.Mkuu hamna offer nyingine hapo uniajiri na mimi...?
Maana haya mabishano naona kama siyaelewi kabisa
mjini hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watch Out Mkuu.Mkuu hamna offer nyingine hapo uniajiri na mimi...?
Maana haya mabishano naona kama siyaelewi kabisa
Usiogope Kazi Mkuu.Kweli Mkuu hiyo kazi ni ngumu kwa mujibu wa job descriptions yake!
Mwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?Nilikuwa napokea 3.9M 2014 plus telephone allowance and other allowance,note hiyo Ni ,2014 leo 2023 hauwezi kunilipa hicho kiasi actually nilishaachana na ajira rasmi 2018 ,wakati naacha hiyo ajira yangu my salary Gross was 6.7M
Endapo una uhakika na umri wa wengi hapa, uko sahihi kuhitimisha hivi.
Unadhani kwa position iliyotajwa, wanahitajia FRESH FROM SCHOOL kama ulivyojaribu kumaanisha kwa kusema anayeanza?
Hiyo nafasi, sio ya wanafunzi, jaribu kulinganisha hiyo nafasi na zifananazo huko TRZ ulikosema wametoka 900,000 mpaka 1,800,000 kisha uje uniambie scale ya mishahara ya wale Principals/Wakuu wa vitengo au section hapo hapo TRA, tuone kama wana hiyo 1.8m
Hitimisho lako ni wazi mdomo umetapakaa asali.
AiseeMwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?
Nitafutie mtumishi mmoja mmoja wa TCRA, aliyesoma Telecom, atutajie basic yake, kisha ujue nani ni mbishi na nani anapaswa kukubali kujifunza hapa!Usiwe mbishi mkuu. Kubali kujifunza. Kuna mambo watu tunashadadia tu ila uhalisia ni tofauti na vile inavyoaminishwa.
Kaka member since 2015 unataka nikujibu nini ,Kama unahisi huo Ni mshahara mkubwa ujue una shida sehemu nimeanza kula six digit 2011.Mwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?
Ukitaka prove nakutumia but uwe na uwezo wa kulinda usiri wa taarifa za mtu then utakuja kutoa ushuhudaMwaka 2014 ulikuwa na salary ya 3.9M lakini bado mkeo akawa anakutesa! Hivi bado upo nae au ulipiga chini?
Tunasubiria UshahidiUkitaka prove nakutumia but uwe na uwezo wa kulinda usiri wa taarifa za mtu then utakuja kutoa ushuhuda
nitumie ntalinda usiri.Ukitaka prove nakutumia but uwe na uwezo wa kulinda usiri wa taarifa za mtu then utakuja kutoa ushuhuda
Unajua salary ya captain wa jeshi ww?Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??
Labda EWURA, TANAPA na hao GEPSA sababu sijawahi kuwa nao karibu na wala sijawahi fanya nao kazi!,The rest ni story tu
Tumeni salary slip bila ya hivyo Zitakuwa ni story tu za vijiweniUnajua salary ya captain wa jeshi ww?
Asante sana kiongozi! Wanadhani hatuna ndugu wanaofanya kazi huko! CDF mwenyewe ana 15M! Sema tu yeye kila kitu ni free!! Mshahara wake na allowances haziguswiTumeni salary slip bila ya hivyo Zitakuwa ni story tu za vijiweni
Unaweza share Salary Slip ya mshahara wa Captain wa Jeshi?? Ziba sehemu ambazo zinaweza leta shidaTumeni salary slip bila ya hivyo Zitakuwa ni story tu za vijiweni
AseeAsante sana kiongozi! Wanadhani hatuna ndugu wanaofanya kazi huko! CDF mwenyewe ana 15M! Sema tu yeye kila kitu ni free!! Mshahara wake na allowances haziguswi