Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??

Labda EWURA, TANAPA na hao GEPSA sababu sijawahi kuwa nao karibu na wala sijawahi fanya nao kazi!,The rest ni story tu
 
Umejua leo? Janjajanja niliwahi kutana nayo ubalozi wa Germany..shenzi kabisa!
 
Umejua leo? Janjajanja niliwahi kutana nayo ubalozi wa Germany..shenzi kabisa!
Wapumbavu sana nilidhani watatenda haki, nimetumia gharama sana mpaka kwenda mixer ku risk kibarua changu lakini toka siku hiyo niliwadharau sana. Bora wangetangaza internal Vacancies tu. Au tungeanza wote chini hata wafiche ujinga wao
 
Mkuu 5.3M starting salary? pesa kidogo?
Hata DC halipwi hiyo pesa.
Kaka kwa hiyo position huyo mshahara mdogo Sana ,hapo sana sana watapata candidate wa kawaida Sana,then ukiona shirika linatoa na scale yake kabisa ujue hamna kitu hapo kwenye maslai,nakumbuka 2014 nikiwa officer tu nilikuwa nakula almost 3.9M leo 2023 mtu aje aniambie 5.3m Ni mshahara mkubwa Tena kwenye international organization nitashangaa
 
Nenda TRA kama kuna officer aliyeanza kazi analipwa 5M au Tanesco

Hakuna officer TRA analipwa hiyo

Marehemu JPM ndie aliwaongeza pesa TRA kwa at least double ,Wale wa 900,000 wakafika walau 1,800,000 na wengine wakapanda kimtindo

Kuna siri nyingi sana ,Wengi ni wezi sio mshahara

VIJANA MNA MAWAZO YA KISHAMBA SANA
 
Sasa unakua muongo jombaa.
Serikali za wenzetu huwa wanaweka wazi Mishahara, Na hiyo sio Organization ni Government Institution(department), hata Wamarekani wanafanya hivyo pia.

So acha kujiproud huo mshahara haunaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…