zyuho
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 220
- 348
Sahihi ndugu ila utajionea mwenyewTatizo humu ndani mtu kama unatokea mabonde kuinama uko au huna hela basi unahisi na wengine pia wako kama wewe.
Anyway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi ndugu ila utajionea mwenyewTatizo humu ndani mtu kama unatokea mabonde kuinama uko au huna hela basi unahisi na wengine pia wako kama wewe.
Anyway
Huko mbali sana na waziri mkuu msaidizi?Kulikuwa hakuna haja kuanzisha cheo cha makamu wa Rais ingebaki tu kama awali makamu ni Rais wa Zanzibar na Waziri mkuu basi hata kama ingetokea Zanzibar inaongozwa na Rais kutoka chama tofauti.
Hayo ni matumaini yako lakini ukweli ni kwamba Tanganyika will never die!Ulipotaja tu Tanganyika.....hoja zako zote zikawa "null and void"...
Tanganyika haipo....imeshajiozea huko kaburini...
Zanzibar ina uwakilishi, Tanzania ina uwakilishi, lakini Tanganyika wakaificha!
Kwa kutokuitaja Tanganyika, hoja yako imekosa mashiko!Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka inayoitwa presidential appointment ya kumteua mtu yeyote kumsaidia au kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania and sometimes sio lazima awe Mtanzania!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania ambao Watanzania wote wa pande zote wana haki sawa za Utanzania hivyo kiuraia Wanzanzibari wote wana haki sawa za Utanzania kama wabara, hivyo wana haki ya kuteuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi popote ndani ya JMT na Rais wa JMT yuko huru kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote katiba jambo lolote!.
Inapotokea Rais hayupo kabisa au hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais kwa sababu yoyote ile ikiwemo kifo, then hierarchy ya Katiba ya JMT inafuatwa
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ
Lakini inapotokea Rais yupo busy, anaweza kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote.
Pia kuna hierarchy ya ki Protokali
No. 1. Rais
No. 2 VP
No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
No. 8 -Spika
No. 9- CJ
No. 10- CDF
P
Sisi tumezaliwa Tanzania hatukuikuta Tanganyika. Tanganyika iliishakufa zamani na ikazikwa jumla. Sasa tuna Tanzania tuu.Kwa kutokuitaja Tanganyika, hoja yako imekosa mashiko!
Makurunge sio eneo la Zanzibar, ni eneo la Tanzania bara ambalo Zanzibar imepewa bure na kumilikishwa. Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalaliMakurunge bagamoyo ni eneo la zanzibar niliona kwenye taarifa ya habari wakitoa onyo kali wa wakazi wa Tanzania wanaokwenda kujenga kule
Hapana, Zanzibar ilipaswa kuwa jimbo.Katiba ya hovyo kabisa, Zanzibar inapaswa kuwa ni mkoa
Leo umeamkia wapi? huyu ndiyo Paschal Mayalla (2016) na siyo nani hii wa 2024, aibu tupu kabisa Kinondoni ni Wilaya na wakati na wakazi zaidi ya milioni 2 Zanzibar nchi ina wakazi 1.2M.Hapana, Zanzibar ilipaswa kuwa jimbo.
P
The determinant ya jimbo, mkoa na wilaya is not determined by idadi ya watu. Zanzibar ina special status, ilikuwa nchi, tulipoungana kuwa nchi moja, Zanzibar ilipewa independent status ya mambo yake ya ndani. Nimeshauri ipewa status ya jimbo ili rais wa Zanzibar awe Gavana wa jimbo la Zanzibar.Leo umeamkia wapi? huyu ndiyo Paschal Mayalla (2016) na siyo nani hii wa 2024, aibu tupu kabisa Kinondoni ni Wilaya na wakati na wakazi zaidi ya milioni 2 Zanzibar nchi ina wakazi 1.2M.
Yes ndiyo maanake Tz iwe na majimbo 7 bara na 1 Zanzibar, tuwe na Rais mmoja pekee na Waziri Mkuu ambaye ndiyo Makamu wa Rais, tuondoe hizi gharama za hovyo nchi masikini lakini ina utitiri wa viongozi na misafara ya hovyo ambayo haina tija kwa mlipa kodi, hili jambo Mbowe kalisema sn na ndiyo mataifa ambayo yameendeleo yanafanya hivyo hata SA.The determinant ya jimbo, mkoa na wilaya is not determined by idadi ya watu. Zanzibar ina special status, ilikuwa nchi, tulipoungana kuwa nchi moja, Zanzibar ilipewa independent status ya mambo yake ya ndani. Nimeshauri ipewa status ya jimbo ili rais wa Zanzibar awe Gavana wa jimbo la Zanzibar.
P
Tanganyika hatuna akili sababu ya ushirikina na rushwaMwaka 2025 tunaenda kuchagua kuongozwa na maraisi wawili Toka nchi Yao moja ndooooogo kama kawilaya.
"Ujinga ujwiga"
Naunga mkono hojaYes ndiyo maanake Tz iwe na majimbo 7 bara na 1 Zanzibar, tuwe na Rais mmoja pekee na Waziri Mkuu ambaye ndiyo Makamu wa Rais, tuondoe hizi gharama za hovyo nchi masikini lakini ina utitiri wa viongozi na misafara ya hovyo ambayo haina tija kwa mlipa kodi, hili jambo Mbowe kalisema sn na ndiyo mataifa ambayo yameendeleo yanafanya hivyo hata SA.
AminaNaunga mkono hoja
P
Bado hujaelewa? Umeambiwa ana mamlaka ya kumteua mtu yeyote, yeyote, yeyote kumuwakilisha.Nafasi ya Makamu wa Rais ni ipi?