Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Mkuu, sijajua kwanini huwa unapenda sana kujizungumzia wewe na familia yako na huwa unakataa kabisa kukubali uhalisia wa wengine.

Siji ongelei mimi na familia yangu bali nauweka wazi uhalisia ambao aidha kwa kujua au kutokujua mnauficha. Uhalisia ambao wengi wanaishi nao na wengi mnatakiwa muishi katika uhalisia huo, kwani humo ndio inapatikana salama.
Unaamini unavyoishi na wake zako ndo na wengine wanaishi hivyo?

Naam bila shaka wengi wanaishi hivyo na wengi hawaishi hivyo. Cha msingi hapa tunaangalia usahihi na kupatia na si kukosea.
Umeona hiyo point niliyo bold? Mbona nimeirudia rudia sana. Yani kama
Una amini unavyoamini hukatazwi ni sawa.

Naamini katika kupatia na kufanya kwa usahihi kwa kuangalia maslahi na madhara. Huu ndio wito wangu kwenu. Mtoke gizani kwa kuikataa asili.

Hapa naona unataka kuhamisha goli, nukta yangu mimi ya mzozo ni zile sababu za uongo mnazo zileta kuhalalisha uovu wenu wakupambana.

Mimi napmkuta mwanamama mjane au mwanamke ambaye hajaolewa nitamuuliza maswali haya kwanza :

1. Je hana wa kumletea yaani wa kumtunza ?
2. Je akipatikana wa kumuhudumia na kumtunza ataacha kupambana ? Hapa ndipo ukweli utawekwa wazi.

Kwanini umekimbilia akatafute mume wa mtu kwani lazima awe mume wa mtu ?

Hapa hakuna suala la imani hapa sisi tunaangalia kupatia na sio kukosea, nyinyi akili hiyo hamna ya kufikiri kwa kutafakari, mmekuwa kama masponji kwenye kila kimiminika mnafyonza tu, hamna muda wa kuangalia hasara wala faida, ndio maana huwa tunasema hamna akili. Yaani mnayafikiria mambo juu juu tu.

Hayaya mwisho ndio maana elimu imekuwa haiwafai, hivi ushawahi kujiuliza kwanini unasoma ? Unasoma ili uondoe ujinga au unasoma ili uje upate kazi ? Sisi wengine tuko tofauti sisi tunasoma ili tuondoe ujinga. Ndio maana wanawake wasomi wamekuwa dhalili sana na hawana akili nje ya waliyo yasoma na wamekalia uoga, ujinga, ujuaji, kiburi uvivu na ujeuri.
 
sasa kama unaangakia kwenye kupatia tu na sio ukosefu kwanini unakomalia kuwashutumu wanawake?

Wewe una shida kubwa sana hii mada nimeimaliza
 
sasa kama unaangakia kwenye kupatia tu na sio ukosefu kwanini unakomalia kuwashutumu wanawake?

Wewe una shida kubwa sana hii mada nimeimaliza

Sababu nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni kubwa sana, ukisoma historia utakuta wanawake wa zamani walikuwa wanazalisha mashujaa na wanaume hasa. Tofauti na sasa Wanawake wamekuwa wajinga kupindukia japokuwa wapo kwenye zama za usasa.

Nafurahi kuona umeimaliza hii mada kwa mtindo huo.
 
I've seen very strong men I know who left their house and leave everything and start a new life somewhere,after almost ten, fifteen to twenty years of hustling for their families!

What's wrong with them?

When a woman decides to stab you ,you can't stand still no matter how masculine you are!!

Sorry for broken,but delivered!
 
Tofauti na sasa Wanawake wamekuwa wajinga kupindukia japokuwa wapo kwenye zama za usasa.
hapa nikikujibu utaniita feminist. Kwani bro umeoa wake wa aina gani???? Yani hao wawili ndo utujumuishe wote.
 
hapa nikikujibu utaniita feminist. Kwani bro umeoa wake wa aina gani???? Yani hao wawili ndo utujumuishe wote.

Unahisi mimi naishi nje ya dunia hii nini ? Ulisoma nilichokiandika huko juu ? Wake zangu wote ni wasecular na wapo nyumbani hawafanyi kazi zaidi ya kulea watoto na kusimamia mambo ya nyumbani.

Watu mfano wangu wako wengi mno.
 
Unahisi mimi naishi nje ya dunia hii nini ? Ulisoma nilichokiandika huko juu ? Wake zangu wote ni wasecular na wapo nyumbani hawafanyi kazi zaidi ya kulea watoto na kusimamia mambo ya nyumbani.

Watu mfano wangu wako wengi mno.
🤣🤣🤣🤣🤣endelea kufuga misukule hiyo!🤣

Ukifa waletewe vitoto vya nje ndo watajua hawajui. Wanaume hamna maana.

Yani mwanaume umezaa nae watoto ila mali anawaachia dada zake🤣 au huwa mnazaa na dada zenu pia? Wanawake fanyeni kazi muwe na financial freedom hawa wanaume watakuja kuwaliza nyie endeleeni🤣
 
Tuishie hapa maana naona naona umerudi katika umbile lako la ukike, unaanza kuwasema vibaya wanawake wenzako wenye akili na maarifa kukuzidi wewe na mfano wako.

Kuwaita misukule unawadhulumu wake zetu sababu wana akili kuwazidi nyinyi.

Sisi wengine hatuzai nje ya ndoa zetu, sababu kufanya hivyo kuna haki za msingi tutawanyima au watakosa hao watoto wa nje toka kwetu.

Halafu unakuta wake zetu wanamiliki mali nyingi kuliko nyinyi ambao mnapambana.
 
🤣🤣🤣hizo mali wanazomiliki wamezitoa wapi? Jipe moyo umeoa wanawake wanaopenda kuwa magoli kipa ndo unasema wana akili?
 
🤣🤣🤣hizo mali wanazomiliki wamezitoa wapi? Jipe moyo umeoa wanawake wanaopenda kuwa magoli kipa ndo unasema wana akili?

Mali unawawezesha na wengine wanazo mali za kurithi kwahiyo wanaziendeleza tu.

Aisee sikufichi ongea mengine bibie, kwa akili huwafikii.
 
Mali unawawezesha na wengine wanazo mali za kurithi kwahiyo wanaziendeleza tu.

Aisee sikufichi ongea mengine bibie, kwa akili huwafikii.
Kwa kusema siwafikii akili inawezekana maana mi akili ya kukubali kuolewa mke wa pili sina na siitaki.
Ila kama mwanamke kuvaa na kula ni kwa Bwana lazima akubali mitala!!

Wanaume wa kiislam sunna zote hamzifatishi ila la kuoa wake wengi tu🤣 kazi mnayo eti wake zako siwafikii akili kwa mali za kurithi?? Hujiskii udhaifu kutamka hayo?? Huyo wako atajilinganisha na mimi nnaeshirikiana na Mzee kuzitafuta kwaajili ya watoto wetu?! Ah usintanie

Humu kila mtu ana uwezo wa kutunza wake wawili. Kwa Uchumi upi? Huu
Huu?? Kama mna ishi mbagala kingugwi huko hata wanne unaoa ila sio huku kwetu. Kule mnauziana mboga ya mchana kwa kijiko lazima watulie, kivazi cha bei kijora. Bro njoo uone hawa wa kwetu nakwambia Lazima usande! Muulize haji manara na dr mwaka
 
Mali unawawezesha na wengine wanazo mali za kurithi kwahiyo wanaziendeleza tu.

Aisee sikufichi ongea mengine bibie, kwa akili huwafikii.

View: https://www.instagram.com/reel/C62bE7Cr4Kd/?igsh=OXFjaXEzeWs4OWwyNa hiki ndo chanzo cha kuomba haki sawa kwa wanawake. Ona jinsi wanawake walivyo nyanyaswa na kuonekans vichaa wakawa wanaenda kuteseka kwenye asylums.

Nyinyi. Wanaume ndo mmetengeneza kizazi cha wanawake majasiri. Mli misuse nguvu zenu mkaona wanawake hawawezi kujitetea. Hongereni sana
 
Nyinyi sio kwamba mnaomba haki sawa mnataka kufanana haki. Hapa ndipo mlipopotezwa.
Kwahiyo wanawake wangekuwa wanawasakizia wanaume kwenye hizo asylums mngekubali? Na kwanini tusiwe na haki? Kwani sisi ni wanyama?! Leo ndo nimekubamba sasa una mentality ya kidikteta wake zako wana kazi! So hawana haki. Okaay
 
Nyinyi sio kwamba mnaomba haki sawa mnataka kufanana haki. Hapa ndipo mlipopotezwa.
Pole sana kaka wewe na Vushi mtata mlifanya kazi kubwa sana kubishana na huyu mwanamke juha asiyejua hata anasimamia wapi.

Kwa jinsi alivyoileta hii mada pamoja na comments zake alzokuwa akiwajibu, ni mtu anayetamani kubaki na ile women/weaker gender privilege hasa kwenye suala la bills na wakati huo huo akijifanya na yee kuwa ngangari sawa au zaidi ya mwanaume ndani ya mahusiano.

Wanawake kama huyu huwa ni zaidi ya cancer na hawafai kabisa kuwa nao kimahusiano... na kuna uwezekano mkubwa sana huyu hana mume wala hayuko kwenye mahusiano yoyote.

Hebu ona kwanza mmejibishana nae kwa amani tangu mwanzo, ila amekuja kuonesha uhalisia wake kwenye hizi comments zake za mwisho kwamba na yeye ni miongoni mwa wale tunaowaita "bitter toxic modern women ambao wana chuki kali sana na wanaume.

Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kuwaita Wanawake wenzie miskule eti kwa sababu tu hawaishi kama anavyotamani yeye kuishi....

Angalia hata hicho kisa alicholeta humu kutoka huko Instagram, hiyo page MeToo ni moja ya popular feministic pages huko Instagram ambayo followers wake wengi ni wanawake majuha, mafeminists,watalaka na wanawake wenye maumivu makali sana ya kihisia ambao wana chuki kali sana na wanaume(misandrist).

Sasa nyie wawili hapa mlikuwa mna deal na misandrist bila kujua na hizi comments zake za mwisho ndio rangi yake halisi na hivyo ndivyo jinsi anavyowachukulia wanaume(maadui zake) huko mwanzoni alikuwa anajikaza tu kuandika logic
 
Katika majuha mliojaa humu jf wewe ni kiongozi! Sibishani na wapumbavu na hamuwezi kunibadilisha msimamo nlionao juu ya nnavyoishi na mwanaume. A man is a provider hiyo ya kwako sijui natafuta privilege ipigie mstari. Siwezi kukaa na mwanaume ndani nihudumie familia na ye yupo anajiita mwanaume ntakuchosha akili tu. And yes, mwanamke anaekubali ndoa za mitala na bado anakaa tu nyumbani ni msukule. Kabishane na ukuta. Juha pro max 🚮
 
Kwamba kuna mwanaume yuko na wewe Halafu nae anajiona amepata mwanamke? Yaani yuko proud kabisa kuwa na mwanamke wa aina yako?
 
Mfano mwanamke ana kipato kikubwa zaidi ya mumewe mara.tano. Bado utataka mwanaume atimize majukumu yote kwasababu ni mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…