Mkuu, sijajua kwanini huwa unapenda sana kujizungumzia wewe na familia yako na huwa unakataa kabisa kukubali uhalisia wa wengine.
Siji ongelei mimi na familia yangu bali nauweka wazi uhalisia ambao aidha kwa kujua au kutokujua mnauficha. Uhalisia ambao wengi wanaishi nao na wengi mnatakiwa muishi katika uhalisia huo, kwani humo ndio inapatikana salama.
Unaamini unavyoishi na wake zako ndo na wengine wanaishi hivyo?
Naam bila shaka wengi wanaishi hivyo na wengi hawaishi hivyo. Cha msingi hapa tunaangalia usahihi na kupatia na si kukosea.
Umeona hiyo point niliyo bold? Mbona nimeirudia rudia sana. Yani kama
Una amini unavyoamini hukatazwi ni sawa.
Naamini katika kupatia na kufanya kwa usahihi kwa kuangalia maslahi na madhara. Huu ndio wito wangu kwenu. Mtoke gizani kwa kuikataa asili.
Kwahiyo mjane au mwanamke ambae hajaolewa ukimkuta anapambana utasema sababu za yeye kupambana ni zipi? Au akatafute mume wa mtu ajishikize ili asipambane uridhike? Inaonekana wewe ni muumini wa kwamba mwanamke ili aishi lazima aolewe si ndio? Inaonekana kama ni zao
La msaada kwa mwanamke! Badilisha mentality bro sio kila mtu ana imani kama yako.
Ukinijibu hili utakua umenisaidia kuelewa uelewa wako.
Kwahiyo mtu kupambana ni upotofu gani? Msichana ametoka chuo akae nyumbani hadi miaka 35 asubiri kuolewa kwasababu kwako wewe akipambana basi ana upotofu! Aisee nasikitishwa na fikra za hivi
Hapa naona unataka kuhamisha goli, nukta yangu mimi ya mzozo ni zile sababu za uongo mnazo zileta kuhalalisha uovu wenu wakupambana.
Mimi napmkuta mwanamama mjane au mwanamke ambaye hajaolewa nitamuuliza maswali haya kwanza :
1. Je hana wa kumletea yaani wa kumtunza ?
2. Je akipatikana wa kumuhudumia na kumtunza ataacha kupambana ? Hapa ndipo ukweli utawekwa wazi.
Kwanini umekimbilia akatafute mume wa mtu kwani lazima awe mume wa mtu ?
Hapa hakuna suala la imani hapa sisi tunaangalia kupatia na sio kukosea, nyinyi akili hiyo hamna ya kufikiri kwa kutafakari, mmekuwa kama masponji kwenye kila kimiminika mnafyonza tu, hamna muda wa kuangalia hasara wala faida, ndio maana huwa tunasema hamna akili. Yaani mnayafikiria mambo juu juu tu.
Hayaya mwisho ndio maana elimu imekuwa haiwafai, hivi ushawahi kujiuliza kwanini unasoma ? Unasoma ili uondoe ujinga au unasoma ili uje upate kazi ? Sisi wengine tuko tofauti sisi tunasoma ili tuondoe ujinga. Ndio maana wanawake wasomi wamekuwa dhalili sana na hawana akili nje ya waliyo yasoma na wamekalia uoga, ujinga, ujuaji, kiburi uvivu na ujeuri.