Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Haka kamstari ka mwisho kame ‘kompliketi’ bro😂 sasa akitafta mwenza ndo atamsaidia kwenye bills? Au atamuongezea

Ndo maana mwanzo nika declare kabisa mimi hiyo ni weakness yangu huwa napenda hata kama nna kazi ina mshahara wa kawaida nifanye uhuru wa kununua vitu nyumbani bila kuwa pushed. Nahisi ni ile feminine feeling tu ya kupenda kuamini kwamba Baba anaweza au sijui ndo kudeka ndo maana nikasema kama ni mbaya labda ndo ntajirekebisha ila huwa tunapenda sana Baba wa familia atuzidi kila kitu hadi uwezo wa kufikiri yani tuna feel very secure. Unakuta kabisa nakijua kitu flani ila naskia raha nimuulize aseme haya ngoja nikuelekeze sasa. Imagine unarudi nyumbani unamkuta mwanamke anaidadavua engine ya gari kama ametengeneza yeye😂 mwanaume unajiskiaje? Au wazazi wako wamekuja mwanamke anaamka asabuhi anaongea hivi ‘ yani humu ndani nanunua sukari kilo moja haifiki siku ya pili nimechoka. Yani nanunua vyakula hamjali mnavitapanya’ inaleta picha gani kwa ndugu zako?

Believe me hii ni from the deepest part naisema tunapenda sana sana sana Mume atuzidi kila kitu! Inatufanya tuuache ungangari. Hiyo ya ku share bills ni makubaliano sasa kati ya mume na mke.
I get you! Mnapenda kufeel secure sawa ila hilo la kila kitu trust me no one is perfect labda ungesema akuzidi mambo mengi ila sio kila kitu, no man will ever fulfill all your desires kudhani hivyo ni ndoto za mchana. Lazima kuwe na balance.
Huko ni kutaka kudekezwa sasa na inabidi uwe na balance.
 
Haka kamstari ka mwisho kame ‘kompliketi’ bro😂 sasa akitafta mwenza ndo atamsaidia kwenye bills? Au atamuongezea
Nini maana ya kuwa na mwenza? Still kumbe wewe ni walewale tu, unajificha kwenye mbuyu, bills si swala la mwanaume peke yake. Kingine wanawake wengi hawapendi kuwa responsible simply because wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mentality ya everything kipo responsible kwa mwanaume. Ingawa umeleta mada muhimu ila na wewe ni walewale tu.
 
I get you! Mnapenda kufeel secure sawa ila hilo la kila kitu trust me no one is perfect labda ungesema akuzidi mambo mengi ila sio kila kitu, no man will ever fulfill all your desires kudhani hivyo ni ndoto za mchana. Lazima kuwe na balance.
Huko ni kutaka kudekezwa sasa na inabidi uwe na balance.
Nimepokea ushauri☺️😂
 
Nini maana ya kuwa na mwenza? Still kumbe wewe ni walewale tu, unajificha kwenye mbuyu, bills si swala la mwanaume peke yake. Kingine wanawake wengi hawapendi kuwa responsible simply because wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mentality ya everything kipo responsible kwa mwanaume. Ingawa umeleta mada muhimu ila na wewe ni walewale tu.
Ndo maana nasema kuna sehemu tunapishana tena padogo sana sana. Labda ni neno linalotumika au ni mtazamo ila huwezi amini tunaongelea kitu kile kile.

Nimekusoma unaongelea nini na nimekuelewa. So hizi comments zingine zisikurudishe nyuma mkuu:
Amini I get your point 💯
 
Kama umenipata sawa, ila the way unavo swing kwenye maneno yako ndo kunanipa wasiwasi.
 
Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Nani kakwambia wanataka kuwa kama nyinyi?
Mnafika sehemu unakuta mhuni anamkosea heshima mwanamke mbele ya mwanaume wake, mwanaume anashindwa kustep up kwa ajili ya mwanamke wake, anakaa pembeni anasema ye hapendi shari. Hivi hapo huyo mwanamke atafanyaje kama sio kujivika vazi la umasculine na mara nyingi changamoto zinaanziaga hapo.

Maana yake mwanaume akiyashindwa hayo anayafanya mwanamke au ? Sijaelewa au na yeye anatafuta fundi ?

Wanawake kiuhalisia hawajiingizi katika upambanaji kwa sababu eti mumewe ameshindwa kutengeneza gari au ameshindwa kubadili bulb. Nyinyi mmeathiriwa na fikra za kimagharibi. Japokuwa kiukweli kuna kazi mwanaume hutakiwi kuzishindwa kama hizo ulizo zitaja.

Sisi wengine majumbani mwetu tuna tool box kabisa, tunajenga na kubomoa kabisa.
 
Ukiisoma hii sentensi vizuri uta elewa kubadili bulb nimetumia kama mfano tu. Kuna sehemu nimetolea hadi mfano mwanaume akikosa kazi inakuwaje.

Naheshimu mtazamo wako lakini niamini mimi. You have no idea how reality knocks hard these days. Kaa vizuri na vijana wenu/wenzenu waulize kuhusu nilichoandika. Wa kike na wa kiume waulizeni vizuri mtapata jibu.

Fikra za magharibi ni zipi? Ina maana mwanaume akishindwa kutimiza wajibu then mke akaona aokoe jahazi anakua amemuiga michelle obama au? Anakua feminist? Anakua anashindana na huyo mwanaume?

‘Unachotaka kusema ni kwamba hakuna wanaume wanaoshindwa kutimiza wajibu.’ If this is your mentality basi dhana ya hii mada tutaipindisha na somo langu litashindwa kuwafikia wahusika kwa maana niliyo ikusudia.
 
ulichoongea ni sahihi, vijana wa siku hizi wanashindana na dada zao kufanya ngozi ziwe laini, sio kurahisisha mambo mimi naamini mwanaume aliumbwa kurahisisha mambo, hata kama hujui au haujasomea umeme ndo hata tester ndani huna, hata nyundo huna, hata kukaza msumal kwenye kitanda chako mpaka umuite fundi kah!
 
Fikra za magharibi ni zipi? Ina maana mwanaume akishindwa kutimiza wajibu then mke akaona aokoe jahazi anakua amemuiga michelle obama au? Anakua feminist? Anakua anashindana na huyo mwanaume?

Naam fikra za magharibi ndio zimewaathiri sababu ukikuta mwanaume anatimiza wajibu wake, mnakuja na sababu je mume akifa ghafla utaishije ? Hili sio jukumu lako. Maana yake tunakuja kuhitimisha ya kuwa kutokutimiza wajibu ni kichaka tu, ila lengo ni wewe lazima upambane.

Lakini kwa mifano ambayo uliyo itoa kama kubadili bulb au kutengeneza gari, akishindwa mumeo lazima utamtafuta mwanaume mwingine afanye hiyo kazi, nikajua unafanya wewe. Maana ya hoja yako inakuwa haipo.
 
Niseme tu, Makamo wa raisi au waziri mkuu akiwa na kimbelembele, kiherehere na ujuaji then raisi atamsusia au kuachia majukumu yake apambane nayo.

Protocol inasema mwanamke ni mshauri wa mwanaume eneo la familia. Kama umeyaona madhaifu ya mwanaume wako kwann usiketi nae kitako kumshauri na kumpa ushirikiano aweze pata nguvu ya kubadilika?

Ninyi mkiwa na mapungufu wanaume wakijiongeza huwa mnalalamika na kuita hiyo hali manyanyaso ya wanawake kwenye ndoa. Ila ninyi mkifanya huu uhaini wenu mnaita ni women empowerment.

Acheni upuuzi. Kama mnahisi wanaume ni wachache basi oaneni wenyewe kwa wenyewe, sababu wewe ukiwa bora na mwanamke mwenzako akiwa bora then si mtapiga hatua kubwa sana?
 
ulichoongea ni sahihi, vijana wa siku hizi wanashindana na dada zao kufanya ngozi ziwe laini, sio kurahisisha mambo mimi naamini mwanaume aliumbwa kurahisisha mambo, hata kama hujui au haujasomea umeme ndo hata tester ndani huna, hata nyundo huna, hata kukaza msumal kwenye kitanda chako mpaka umuite fundi kah!
Umemaliza mkuu🤝
 
Naam fikra za magharibi ndio zimewaathiri sababu ukikuta mwanaume anatimiza wajibu wake, mnakuja na sababu je mume akifa ghafla utaishije ? Hili sio jukumu lako. Maana yake tunakuja kuhitimisha ya kuwa kutokutimiza wajibu ni kichaka tu, ila lengo ni wewe lazima upambane.

Lakini kwa mifano ambayo uliyo itoa kama kubadili bulb au kutengeneza gari, akishindwa mumeo lazima utamtafuta mwanaume mwingine afanye hiyo kazi, nikajua unafanya wewe. Maana ya hoja yako inakuwa haipo.
Kwahiyo wewe utakubali atafutwe mwanaume mwengine aje afunge bulb chumbani kwako?

Ukirudi ukamkuta anafunga bulb utaamini ni fundi? Huoni kama hiko mdo chanzo cha ugomvi na mwanaume atakimbilia kusema anadharauliwa na mwanamke wake.

Kwa mentality uliyonayo ni ngumu sana kunielewa nnachosema.
 
Nukta yangu ya msingi ipo je ni kweli sababu mnazozitaja ndizo hasa zinawafanya mpambane au kuna sababu nyingine ? Hapa ndipo ipo nukta ya mzozo.

Huko nyuma nilisema wazi shughuli ndogo ndogo kama kubadili bulb na mfano wake, kwangu mimi huwa nafanya mwenyewe na wake zangu hilo wanalijua na tools ninazo. Nachokataa mimi ni kutumia sababu za uongo kuhalalisha ukosefu wenu au upotofu wenu.
 
Kila mmoja ana nafasi yake katika uhalisia lakini mmoja anaposhindwa kuisimamia nafasi yake automatically huyu mwanamke itabidi aanze kujipambania mwenyewe. Sijasema hizo ndo sababu pekee zinazofanya mwanamke aone she has to step up zipo nyingi sana na hii kitu haiibuki tu out of nowhere unakuta ni kitu kimejijenga.

Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Nani kakwambia wanataka kuwa kama nyinyi?
Mnafika sehemu unakuta mhuni anamkosea heshima mwanamke mbele ya mwanaume wake, mwanaume anashindwa kustep up kwa ajili ya mwanamke wake, anakaa pembeni anasema ye hapendi shari. Hivi hapo huyo mwanamke atafanyaje kama sio kujivika vazi la umasculine na mara nyingi changamoto zinaanziaga hapo.
Mkuu, sijajua kwanini huwa unapenda sana kujizungumzia wewe na familia yako na huwa unakataa kabisa kukubali uhalisia wa wengine.

Unaamini unavyoishi na wake zako ndo na wengine wanaishi hivyo?

Umeona hiyo point niliyo bold? Mbona nimeirudia rudia sana. Yani kama
Una amini unavyoamini hukatazwi ni sawa.

Kwahiyo mjane au mwanamke ambae hajaolewa ukimkuta anapambana utasema sababu za yeye kupambana ni zipi? Au akatafute mume wa mtu ajishikize ili asipambane uridhike? Inaonekana wewe ni muumini wa kwamba mwanamke ili aishi lazima aolewe si ndio? Inaonekana kama ni zao
La msaada kwa mwanamke! Badilisha mentality bro sio kila mtu ana imani kama yako.

Ukinijibu hili utakua umenisaidia kuelewa uelewa wako.

Kwahiyo mtu kupambana ni upotofu gani? Msichana ametoka chuo akae nyumbani hadi miaka 35 asubiri kuolewa kwasababu kwako wewe akipambana basi ana upotofu! Aisee nasikitishwa na fikra za hivi
 
Kubadili bulb ni taaluma au common sense?

Unabisha Bure tu ila kwenye huu uzi jamaa katoa madini sana
Sasa kubadili bulb sio taaluma mkuu?? Ni kitu rahisi lakini sio kila mtu anakiweza.
Kuna ubaya gani fundi akaitwa kuiweka hiyo bulb??
Tatizo lenu wengi mnanasa kwenye mtego wa kua vile mwanamke anataka mwanaume wake awe na sio vile mwanaume wewe kama wewe unatakiwa uwe.

Kubadili tyre ya gari nayo ni taaluma na wanaume wengi hawawezi lakini hiyo haikuondolei wewe kua mwanaume as long as tatizo hilo una njia zako za kusolve si lazima ufunge wewe hilo tyre sijui unaelewa.

Ni ishu ya problem solving sio nguvu. Na kuna njia nyingi za kusolve tatizo moja mkuu.
 
Tuachane na maelezo yote mkuu. Unarudi kutoka kazini unamkuta fundi anatoka bafuni kwako kubadilisha bulb 😂 bulb aisee bro unajua hata unachokibishia? Alafu Sio kuhusu bulb tu kila saa nakwambia huo ni mfano lakini mambo ni mengi mno. Tukisema tuyaongelee hapa hatutamaliza

Siku wanaume mkikubali pia kuwa accountable kwamba na nyinyi ni part ya tatizo. Tutakua tume solve part kubwa sana ya tatizo
 
Hizo ni imagination tu mkuu.
Yaani bado sioni mantiki ya huo mfano wako.
Hata mafundi wa vyoo, tiles, madirisha nao huingia vyumbani mwetu kututengenezea vitu tusivyo na ujuzi navyo.

Na kama una marafiki mafundi basi ndio utajua mengi sana, sometimes ni vitatizo vidogo mno lakini mtu hana ujuzi navyo anaita fundi na wala mkewe anaejielewa hawezi kumshangaa.

Na wewe unataka mwanaume anaeweza kufunga bulb lakini mwingine hatajali imefungwa na nani bali anachotaka bulb iwake.

Wewe utataka mumeo akulinde 24/7 lakini mwingine ataajiri mlinzi Suma jkt ailinde familia yake 24/7.

Wewe utataka hizo majani hapo nje mumeo achukue fyekeo stoo afyeke lakini mwingine atata tu uwanja wake uwe safi haijalishi nani atafyeka.
Kinachotakiwa ni mwanaume aweze kusolve tatizo iwe ni kwa yeye kuiweka hiyo bulb au kwa kuita fundi aweke, kinachotakiwa ni taa iwake.

Sijui tunaelewana hapoo??
 
lakini mwanamke akiwa na msaidizi wa ndani ameshindwa majukumu yake?

Bipolars😂 full of double standards.
Yani kaeni mjitafakari kinachowaponza ni kujiona mko sawa kwa kila mnachofanya.

Sina muda wa kukuelekeza zaidi katika hili kaza na mawazo yako walioelewa wameelewa
 
Nani kasema kua mwanamke akiwa na msaidizi basi ameshindwa majukumu, acha kunilisha maneno..

Mpaka nafikia utu uzima nyumbani kukosa dada wa kazi ni mara chache mno. Miaka mingi nimeishi nao na wala sio kwamba wazazi/walezi wameshindwa majukumu

Nadhani double standards umezitengeneza ndani ya ubongo wako tu.

Mimi nachoamini ni kua hamna mjuzi wa mambo yote, utaisaidiwa baadhi. Hata Ke kuna vitu haviwezi atahitaji msaada na ndo hao wasaidizi majumbani.
 
Back
Top Bottom