de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
I get you! Mnapenda kufeel secure sawa ila hilo la kila kitu trust me no one is perfect labda ungesema akuzidi mambo mengi ila sio kila kitu, no man will ever fulfill all your desires kudhani hivyo ni ndoto za mchana. Lazima kuwe na balance.Haka kamstari ka mwisho kame ‘kompliketi’ bro😂 sasa akitafta mwenza ndo atamsaidia kwenye bills? Au atamuongezea
Ndo maana mwanzo nika declare kabisa mimi hiyo ni weakness yangu huwa napenda hata kama nna kazi ina mshahara wa kawaida nifanye uhuru wa kununua vitu nyumbani bila kuwa pushed. Nahisi ni ile feminine feeling tu ya kupenda kuamini kwamba Baba anaweza au sijui ndo kudeka ndo maana nikasema kama ni mbaya labda ndo ntajirekebisha ila huwa tunapenda sana Baba wa familia atuzidi kila kitu hadi uwezo wa kufikiri yani tuna feel very secure. Unakuta kabisa nakijua kitu flani ila naskia raha nimuulize aseme haya ngoja nikuelekeze sasa. Imagine unarudi nyumbani unamkuta mwanamke anaidadavua engine ya gari kama ametengeneza yeye😂 mwanaume unajiskiaje? Au wazazi wako wamekuja mwanamke anaamka asabuhi anaongea hivi ‘ yani humu ndani nanunua sukari kilo moja haifiki siku ya pili nimechoka. Yani nanunua vyakula hamjali mnavitapanya’ inaleta picha gani kwa ndugu zako?
Believe me hii ni from the deepest part naisema tunapenda sana sana sana Mume atuzidi kila kitu! Inatufanya tuuache ungangari. Hiyo ya ku share bills ni makubaliano sasa kati ya mume na mke.
Huko ni kutaka kudekezwa sasa na inabidi uwe na balance.