Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Unaweza kuomba Ila vipi usail Kama na huko utakuwepo na utasimamiwa na watendaji itakuaje Mana Hawa watendaji sio poa
 
Unaweza kuomba Ila vipi usail Kama na huko utakuwepo na utasimamiwa na watendaji itakuaje Mana Hawa watendaji sio poa
Mie hata sina hamu kabisa na hizi nafasi ya kufanyiwa mchujo ofisi za mtaa;Mtendaji mtaa ana mtu wake,Mw/kiti,Wale wajumbe wa ofisini,Diwan ana wale wadhamin wake ,wana watoto wao wanamuambia awape kazi,Mabalozi wana watoto wao..
Ktk hyo chain kama huna ukaribu na mmojawapo,hapo hatujaenda kata..
Anwei..Nilipata ya Postikodi japo kwa bahat ila system yetu ya fursa ina kujuana sana.
Ukipata kibahat ,pia ktk kazi hupew ushirikiano ipasavyo kama wengine ..
 
Kuna mpaka ma comrades wa chama,ngazi za mtaa,kata,wote wanahusika..yaan chain ni ndefu..ukipita hujuani na mtu ,yan ukipata pesa unakimbiza zaka kanisani..hahha
 
Kumbe kuna watu wameshajaza na kutuma form no.1 kabla ya Tangazo halijatoka rasmin yaani week moja nyuma kabla serikali haijatangaza ajira.

Hii nchi kwa upigaji ni namba moja, siyo serikali siyo raia.
Hahahahahahahahahahaahah... "Siyo Serikali sio raia" hahahahahah
 
Umeongea point huu mchakato kule ngaz ya kata ni kujuana tu
 
Jamn mm nisaidien nifanyeje form namba 1 imerudi bila pasport
 
Nawaza nitafute wilaya ya vijijini. Labara huakiks kupata nafasi ni 100% hivi..... Sema kipengele ni. Makazi
 
Nimekamilisha kujaza form email sijapata mpaka sasa. Nimejaribu kuijaza tena wanasema email imeshatumika. Msaada
 

Kifupi hapo umebugi kutoa email ambayo haifanyi kazi
 
Una uhakika nacho kivipi?

Hebu thibitisha Mkuu. Yaani Sensa ya mwezi wa nane, watu wawe wameahaenda semina sasa hivi?

Au hata hujui maana ya Sensa?

Umeshuhudia , umeshiriki au na wewe unasikia?

Inawezekana walio kwenye semina na wale watakao kuja kutoa semina kwa watakao shiriki kufanikisha ili zoezi
 
Nimejaza msimamizi wa maudhui nimeshaprint but nataka Ku edit niweke karani nafanyaje?

Wasimamizi wa maudhui kwa muktadha wa tanzania lzima watapewa watumishi wa umma walio omba
 
Hv wadau kuna uwezekano wa kuomba Mara mbili kwa maeneo tofauti au ile namba ya nida na index namba ya form inakaba

Ikiwa nida inatumika hilo jambo haliwezekani abadani
 
Ndio tumeziacha pale, og au hata copy
Kwan ukishaiscan na kuituma si lazima wewe ubaki nayo na Ile uliyoiscan ndo utakayoituma Sasa uliyobaki nayo si uwapelekee huko ofisini......????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…