lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 557
- 523
Unaweza kuomba Ila vipi usail Kama na huko utakuwepo na utasimamiwa na watendaji itakuaje Mana Hawa watendaji sio poaNa shida kubwa moja sana. Naitaji ufafanuzi hapa ; Mie nimepanga kutafuta wilaya yenye maeneo ya vijijini , maana mijini wengi wataomba then wata chujwa kwa kasi ya 5G , so hivi hapa , nikiomba MOSHI VIJIJINI DC , Maana nipo MOSHI MJINI ntapata kweli ? , kuhusu kata mpaka shehiya hiyo ntazurura kwenye ofisi za serikali za vijiji. Then nta process ,