Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kimeumana..[emoji1787][emoji1787]
 
Na watakao wafanyia usahili watahiniwa wa nafasi za sensa sio watendaji wa kata tena bali ni walimuu wakuu kutoka shule kadhaa ambao majina yao yameshapelekwa Wilayani pamoja na waratibu elimu Kata..

Nawapongeza NBS kwa hili maana itaondoa ile dhana mtendaji ndio mwenye maamuzi ya mwisho so kila mtu atapata haki yake .[emoji857][emoji857]

Watendaji wa Kata na Vijiji hawatahusika katika usahili ila watakuepo kwenye semina zinazoanza tarehe 29.Kama una vigezo na unaamini katika Mungu wako amini kua utapata [emoji120]

Majobless wenzangu tusikate tamaa hii ni nafasi nzuri ya kuanzia maisha kama tukifanikiwa kupata kiinua mgongo cha sensa[emoji122][emoji122]
 
Tafuta muongozo unaoonyesha kamati ya sensa ngazi ya Kata kisha urudi tena hapa jukwaani
 
Sasa Majobless wenzangu ni wakati wa kujipanga tukawapige watu spana, it's obvious...kama una sifa zile NBS waliziorodhesha lazima utakuwepo kwenye usaili hakuna janjajanja, hata zoezi lenyewe naamini litakuwa open and fair.

Sisi hatutaki kuonewa huruma tunataka mbungi iwe fair tu basi, sasa wale ndg zetu wa kuleta mambo ya kujuana kisa wao wamewahi kuingia kwenye mfumo tukutane huko.

Soon tutaanza kushusha nondo humu. Let's trust the process!.
 
Watakao simamia usaili ni akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…