Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hapo kwenye vyeti halisi hapoo na vitambulisho kuna wahuni waliweka living certificates
 
Mfumo wa kujuana hauwez epukika ndugu.
Kuna watu wana chongesha cheti cha mzazi kuwa anaumwa anatakiwa awe anaenda muhimbili mara kwa mara,na cheti kinaonesha ameanza kwenda miaka mitano nyuma ili tu hasiamishwi kazi mkoani,hii kitu haupati kisa una hela ila unamjua nani. Mfano tu.
 
Wana wenyewe wanafki tu me sijawahi kutegemea Wana nilizaliwa familia ya kishua namaliza chuo ikabidi nikasimamie biashara ya home..Cha ajabu Wana,marafiki wakawa wanakopa biashara hawalipi madeni Nina hasira nao hao Wana wako fanya biashara ndo utajua Wana NI kitu gn ....me sifagilii hizo za kiwana.
 
Mkuu pumzi zikikatika hautaweza kujibeba wala kujichimbia makazi yako ya baada ya pumzi....tuishi kwa kuchuliana madhaifu yetu na kupunguza KIBURI.
 
Ukitaka mtaji/biashara iyumbe/ife lete mambo ya urafiki kwenye biashara, hauwezi ku survive kilomita nyingi lazima biashara ikupige mweleka, ni bora uonekane una roho mbaya kwa wana na marafiki ili mtaji usiyumbe ni hayo tu.
Tuendelee kupeana kinachojili kwa ajili ya Sensa, Kunguru wa Manzese mbona kimya ndugu yangu.
 
Nipo mkuu nazurura tu hii mita
 
Hhaaha daah pole sana ndege john

Hapo uzembe ulikuwa wako wewe hata usiwasingizie

Wana ni muhimu kwenye kupeana ramani , michongo, kukuepusha na Shari mfano wanakwambia huyu manzi kawaka hapo wameona unataka kupiga so hata kama si kweli ila wanakupa tahadhari . ila sio kwenye pesa na biashara yako unaleta uwana hapo lazima ufeli masta
 
Mbna ndogo,kuna mtu alisema inafika milioni humu
Daah million nakataa kwa makarani wote hao Tanzania nzima yaani laki mbili mara million moja duuh Pesa nyingi sanaa


Hapo ngoma ni kilo tano ..


Kilo tano mtu unakuwa macmuga ukipewa million si tutauna huko kitaa jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Daah million nakataa kwa makarani wote hao Tanzania nzima yaani laki mbili mara million moja duuh Pesa nyingi sanaa


Hapo ngoma ni kilo tano ..


Kilo tano mtu unakuwa macmuga ukipewa million si tutauna huko kitaa jamani
Tunaambiwa siku za semina ni 21 na siku za zoezi la sensa ni 10. Kwa hiyo kama zoezi zima ni shikingi laki tano ina maana posho itakuwa elfu 16 kwa siku.

Najaribu kuwaza tu.
 
Inaweza ikafika million shekh.. billion 250 kulipa inawezekana beside hizo hela zinabaki hapahapa nchini wakikagua Kodi zao miezi miwili TU zisharud hazina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…