Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Million inafika
 
Tarehe 19 mpka 21 ntakuwa ofisini dah sijui ntafanyaje
Kwenye mwongozo walisema Kama umeajiriwa ongea na tajiri wako ili ukichaguliwa usimame kazi yako..me roho inaniuma kwa sababu nafukuzia million za sensa wakati Kuna kazi yangu ambayo Ina million na nusu Tena dokezo liliandikwa zamani posho ilikuwa 60000 now ikitokea inaweza kupanda maana mama kaupiga mwingi kule now 80000 ndo maana nashindwa nifanye ipi Ila nitaongea na boss niende site NI sign halafu nizitapike japo nusu na za Huku sensa nisiziache
 
niuzie kazi
 
Ongea na boss kinyonge muachie li twenty kwenye meza hawezi chomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…