ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na Kuna maisha baada ya kukatwa maisha Lazima yaendeleeKuliona jina tu hongera muhimu mkuu....!! Dua zingne bdae maana hatua ya Kwanza wameinyanyua tayari,,,bdo mguu kutua ardhini !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kuna maisha baada ya kukatwa maisha Lazima yaendeleeKuliona jina tu hongera muhimu mkuu....!! Dua zingne bdae maana hatua ya Kwanza wameinyanyua tayari,,,bdo mguu kutua ardhini !!
Tarehe 19 mpka 21 ntakuwa ofisini dah sijui ntafanyajeWe jamaa wa Moshi unafurahisha sn kila siku wa Moshi wa Moshi HAKUNA aliyekuja pm?
Wapi huko ulipoliona ? toa updatesAsante Mungu jina nimeliona
Million inafikaDaah million nakataa kwa makarani wote hao Tanzania nzima yaani laki mbili mara million moja duuh Pesa nyingi sanaa
Hapo ngoma ni kilo tano ..
Kilo tano mtu unakuwa macmuga ukipewa million si tutauna huko kitaa jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Forge na weweHakuna majina msidanganywe hizo forging tu
Karibu utaanza kulambwa asaliMajina yamebandikwa kwenye mbao za ofisi za kata. Nimekwenda nikaangalia jina langu lipo na 4.
Usaili jumanne 1:30 tarehe 19
Namshukuru Mungu kwa hatua hii,nisubiri inayofuata ya usaili.
Kata gani? Au taja tu halmashauriMajina yamebandikwa kwenye mbao za ofisi za kata. Nimekwenda nikaangalia jina langu lipo na 4.
Usaili jumanne 1:30 tarehe 19
Namshukuru Mungu kwa hatua hii,nisubiri inayofuata ya usaili.
Kwenye mwongozo walisema Kama umeajiriwa ongea na tajiri wako ili ukichaguliwa usimame kazi yako..me roho inaniuma kwa sababu nafukuzia million za sensa wakati Kuna kazi yangu ambayo Ina million na nusu Tena dokezo liliandikwa zamani posho ilikuwa 60000 now ikitokea inaweza kupanda maana mama kaupiga mwingi kule now 80000 ndo maana nashindwa nifanye ipi Ila nitaongea na boss niende site NI sign halafu nizitapike japo nusu na za Huku sensa nisiziacheTarehe 19 mpka 21 ntakuwa ofisini dah sijui ntafanyaje
Kata gani sasa ?Majina yamebandikwa kwenye mbao za ofisi za kata. Nimekwenda nikaangalia jina langu lipo na 4.
Usaili jumanne 1:30 tarehe 19
Namshukuru Mungu kwa hatua hii,nisubiri inayofuata ya usaili.
niuzie kaziKwenye mwongozo walisema Kama umeajiriwa ongea na tajiri wako ili ukichaguliwa usimame kazi yako..me roho inaniuma kwa sababu nafukuzia million za sensa wakati Kuna kazi yangu ambayo Ina million na nusu Tena dokezo liliandikwa zamani posho ilikuwa 60000 now ikitokea inaweza kupanda maana mama kaupiga mwingi kule now 80000 ndo maana nashindwa nifanye ipi Ila nitaongea na boss niende site NI sign halafu nizitapike japo nusu na za Huku sensa nisiziache
Nitakuuziaje wakati umesoma kada tofauti na Mimi utaelekezwa na nai utalaam huo.niuzie kazi
Ongea na boss kinyonge muachie li twenty kwenye meza hawezi chomoaKwenye mwongozo walisema Kama umeajiriwa ongea na tajiri wako ili ukichaguliwa usimame kazi yako..me roho inaniuma kwa sababu nafukuzia million za sensa wakati Kuna kazi yangu ambayo Ina million na nusu Tena dokezo liliandikwa zamani posho ilikuwa 60000 now ikitokea inaweza kupanda maana mama kaupiga mwingi kule now 80000 ndo maana nashindwa nifanye ipi Ila nitaongea na boss niende site NI sign halafu nizitapike japo nusu na za Huku sensa nisiziache
hahaha sawa kiongoziNitakuuziaje wakati umesoma kada tofauti na Mimi utaelekezwa na nai utalaam huo.