Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tumepita 23 lakini nilipata taarifa tunahitajika watu wa 3 tu kwenye kata yetu sa sijui kama kuna ukweli kwenye hili au vipi yani.[emoji1]
 
Jana niliwaambia hili,Walimu wakuu na Mafisa Elimu kata ndio waamuzi wa mchezo
 
Jana niliwaambia hili,Walimu wakuu na Mafisa Elimu kata ndio waamuzi wa mchezo
daaah kama ni hivyo jina langu likitoka basi nimepita maana nimesoma mambo yotee kuhusu sensa,maana ya sensa ,umuhimu wa sensa ,sensa kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka gani na idadi ilikua ngapi,na kamisaa wa sensa mwaka huo alikua nani,na kuna changamoto gani katika kuhesabu watu,kuna tofauti gani kati ya sensa zilizopita na hii?? n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…