Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kinachonichosha ni kwamba vurugu mechi hata viongozi wa kata nao wanasubiria majina kama waomba kazi. Unampgia simu mtendaji anakuuliza wewe hujaona kwenye mtandao au umesikia sehemu gani?

Mwishowe unamwbia mtandaoni wanasema illawarra imetoka anakujibu huku temeke hakuna majina yaliyofikq mpaka sasa hivi basi tusubirie.

Naungana na watu wengine kusema NBS walichukulia poa zoezi ambalo hulifanya once kila baada ya miaka 10..
 
yaani wanakula hela za sensa tu bure bure hakuna cha mipangilio mizuri wala nini ni hasara sanaaaaaa kwa serikali hii ya TANZANIA mazoezi nyeti kama haya kwenda hovyo hovyo. laiti magufuli angekuwepo hiyo NBS /OCGS tumbua kabisaaaaa.
 
shukrani sana ndgu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…