Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kinachonichosha ni kwamba vurugu mechi hata viongozi wa kata nao wanasubiria majina kama waomba kazi. Unampgia simu mtendaji anakuuliza wewe hujaona kwenye mtandao au umesikia sehemu gani?

Mwishowe unamwbia mtandaoni wanasema illawarra imetoka anakujibu huku temeke hakuna majina yaliyofikq mpaka sasa hivi basi tusubirie.

Naungana na watu wengine kusema NBS walichukulia poa zoezi ambalo hulifanya once kila baada ya miaka 10..
 
Usaili View attachment 2296571
IMG-20220719-WA0006.jpg
 
yaani wanakula hela za sensa tu bure bure hakuna cha mipangilio mizuri wala nini ni hasara sanaaaaaa kwa serikali hii ya TANZANIA mazoezi nyeti kama haya kwenda hovyo hovyo. laiti magufuli angekuwepo hiyo NBS /OCGS tumbua kabisaaaaa.
 
KWA WALE WANAOENDA USAILI JIONGEZEENI MAARIFA KIDOGO KUHUSU SENSA [emoji116].

Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo Sensa ya mwisho kufanyika nchini ni ile ya mwaka 2012.

Hivyo Sensa ya mwaka 2022 itakuwa ni sensa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.

Sensa nyingine zilifanyika [emoji116] >>1967
shukrani sana ndgu
 
Back
Top Bottom