Basi kwa scenario hii ulio ielezea chief wewe ni yule jamaa mwenye kitambi aliekuwa anatuelezea , dahUnapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbele
Kivipi Mkuu!!Hakuna budi kusema Temeke Tumechinjwa
Nawasilisha
Sema kiongozi wangu@mpyayungu village
Hiyo nzuri sana ningependa itumike kote inaondoa usumbufu maana ni kuitwa jina unaenda ndani. Lakini sijui mambo ya foleni ni usumbufu usio wa lazima.Huku kwetu walianza wa kwanza kwenye list mpaka wa mwisho tulikuwa watu kama 75 hivi kata nzima.
Duh, nyie ni wachache sana kata nzima watu 75 pekee?Huku kwetu walianza wa kwanza kwenye list mpaka wa mwisho tulikuwa watu kama 75 hivi kata nzima.
Ngoja niwape nondo kidogo wadogo zangu..Ndiyo. Mwaka 2012 usiku wa sensa mimi nilichukuliwa na gari mpaka hospital nilihesabu wagonjwa waliolazwa Hospital
Kinondoni kwenye site yao wameweka majina ya watu wa TEHAMA pekee manispaa yote, ninayo ukiyataka.Vip kinondoni wazeeee
Msaada mkuu mie hayo ya tehama ndo nataka mkuu nipasie Link mie Kila nikiingia bila bilaKinondoni kwenye site yao wameweka majina ya watu wa TEHAMA pekee manispaa yote, ninayo ukiyataka.
Hao wengine kuna baadhi ya kata bado, kata ya kawe ninayo ukiyataka
Nimeipata mkuuKinondoni kwenye site yao wameweka majina ya watu wa TEHAMA pekee manispaa yote, ninayo ukiyataka.
Hao wengine kuna baadhi ya kata bado, kata ya kawe ninayo ukiyataka
Mda gani umeskia mkuuNaskia ilemela wamebandika mwenye pdf aisee
Vema!Nimeipata mkuu
A scam is a deceptive scheme or trick used to cheat someone out of something. Sasa refer kitendo cha kusema umeweka majina, Wakati kitu kilichokuwa provided ni Link za DC na MC tu.Hivi unajua maana ya scam mkuu?
usiseme vitu hujui unachafua watu
Sema Haina sehemu nyingineVema!
Tafuta barua ya utambulishoWakuu sina kitambulisho chochote wala leseni ya baiskeli nina namba za nida tu ,vipi niingie kwenye usahili au nibaki sebuleni kwenye kochi nikicheki muvi kwa shemeji ?maana kuna mtu kanitisha eti wataniambia subiri sensa ijayo..
Sehemu gani unayotaka mkuu? Rejea comment yangu ya mwanzo, usome vizuri.Sema Haina sehemu nyingine
Kata ya Mbezi juu mtaa wa Mbezi kati hakuna naona tu mitaa mingine Kama mbezi juuSehemu gani unayotaka mkuu? Rejea comment yangu ya mwanzo, usome vizuri.