Usiku huuuMda gani umeskia mkuu
sawa ukiwa kama mtendaji mtu alie kosea siku ila taree akapatia unampa alama ngap hilo swali lilikua na alama 10Hapo jibu sahihi ni usiku wa tarehe 22 kuamkia tarehe 23/08/2022, siku ya jumanne.
Basi mkuu next timeKama jina halijarud we nenda itajulikana hukohuk hii nchi yetu sote.
Nipo sehemu nyingine nataka nidamke alfajiri niwahi maskani nichukue cheti cha form 4 na chakuzaliwa , kwa kesho hiyohiyo tena nipitie serikali ya mtaa kusaka barua na wao wanachelewa kufungua vilevile nyomi kwenye kata inatakiwa niwahi sasa sijui nicheze vipi hapo au nitimbe kikomando na barua ya utambulisho ya mwezi huu huu ambayo ipo ndani..Tafuta barua ya utambulisho
Kuna Rafiki yangu yupo ILEMELA nae alikuwa ananiulizia kuhusu majina haya...yamebandikwa sehemu gani Ili nimwambie?Usiku huuu
Mim ndo nimesema tarehe 24 nilichanganya,watendaji maswali yao yalikaa kimkakati, mara smartphone yako ikiharibika uko kwenye majukumu utafanyaje,mi nkasema ntawataarifu viongozi,wakauliza kwa njia gani, nkasema ntatumia cm yng ndogo wakacheka,na maswali mengine unaulizwa vijiji vya ndani ndani uko mtu useme km unavijua,eh Mungu atusaidie tupate,nasikia ni 50 per day c haba .sawa ukiwa kama mtendaji mtu alie kosea siku ila taree akapatia unampa alama ngap hilo swali lilikua na alama 10
Mkuu soma data na information tofaut zakeWaliofanya TEHAMA mmegoma kutoa ushirikiano sio?
[emoji1787][emoji1787] we jamaaaMim ndo nimesema tarehe 24 nilichanganya,watendaji maswali yao yalikaa kimkakati, mara smartphone yako ikiharibika uko kwenye majukumu utafanyaje,mi nkasema ntawataarifu viongozi,wakauliza kwa njia gani, nkasema ntatumia cm yng ndogo wakacheka,na maswali mengine unaulizwa vijiji vya ndani ndani uko mtu useme km unavijua,eh Mungu atusaidie tupate,nasikia ni 50 per day c haba .
Siyo mie,dogoWarda kumbe nawe umo.
ngoja tuvute subra maana marks wanakadilia kunaswal lina marks 5 na mengine 10 so inategemea yeye atakukadilia marks ngapMim ndo nimesema tarehe 24 nilichanganya,watendaji maswali yao yalikaa kimkakati, mara smartphone yako ikiharibika uko kwenye majukumu utafanyaje,mi nkasema ntawataarifu viongozi,wakauliza kwa njia gani, nkasema ntatumia cm yng ndogo wakacheka,na maswali mengine unaulizwa vijiji vya ndani ndani uko mtu useme km unavijua,eh Mungu atusaidie tupate,nasikia ni 50 per day c haba .
Ahsante mkuu.Wewe walikuuliza maswali gani? Unaweza kukumbuka?Mkuu soma data na information tofaut zake
Introduce yourself
Na maswali mengine yakijingajinga ila kwa ngeli mkuu..ingawa Wana maswali mengi saana kwahyo yanatofautiana mmoja badala ya mwingine
Ww n mtumishiNAONA NITAFUTE CHA KUFANYA JINA LANGU HALIJARUDI AISEEEEE
Jobless tuWw n mtumishi
Halmashauri hapo hapo "ardhi" na usaili ni keshoKuna Rafiki yangu yupo ILEMELA nae alikuwa ananiulizia kuhusu majina haya...yamebandikwa sehemu gani Ili nimwambie?
Tupe Abc wanauliza mambo Gani huko mkuuNimetoka huko kufanya usahili wao wa kiinua mgongo,ni mgumu kuliko ule wa Utumishi [emoji1][emoji1][emoji1]
Huna pdf kiongozi?Halmashauri hapo hapo "ardhi" na usaili ni kesho