Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tafuta barua ya utambulisho
Nipo sehemu nyingine nataka nidamke alfajiri niwahi maskani nichukue cheti cha form 4 na chakuzaliwa , kwa kesho hiyohiyo tena nipitie serikali ya mtaa kusaka barua na wao wanachelewa kufungua vilevile nyomi kwenye kata inatakiwa niwahi sasa sijui nicheze vipi hapo au nitimbe kikomando na barua ya utambulisho ya mwezi huu huu ambayo ipo ndani..
 
sawa ukiwa kama mtendaji mtu alie kosea siku ila taree akapatia unampa alama ngap hilo swali lilikua na alama 10
Mim ndo nimesema tarehe 24 nilichanganya,watendaji maswali yao yalikaa kimkakati, mara smartphone yako ikiharibika uko kwenye majukumu utafanyaje,mi nkasema ntawataarifu viongozi,wakauliza kwa njia gani, nkasema ntatumia cm yng ndogo wakacheka,na maswali mengine unaulizwa vijiji vya ndani ndani uko mtu useme km unavijua,eh Mungu atusaidie tupate,nasikia ni 50 per day c haba .
 
Waliofanya TEHAMA mmegoma kutoa ushirikiano sio?
Mkuu soma data na information tofaut zake
Introduce yourself
Na maswali mengine yakijingajinga ila kwa ngeli mkuu..ingawa Wana maswali mengi saana kwahyo yanatofautiana mmoja badala ya mwingine
 
Mim ndo nimesema tarehe 24 nilichanganya,watendaji maswali yao yalikaa kimkakati, mara smartphone yako ikiharibika uko kwenye majukumu utafanyaje,mi nkasema ntawataarifu viongozi,wakauliza kwa njia gani, nkasema ntatumia cm yng ndogo wakacheka,na maswali mengine unaulizwa vijiji vya ndani ndani uko mtu useme km unavijua,eh Mungu atusaidie tupate,nasikia ni 50 per day c haba .
[emoji1787][emoji1787] we jamaaa
 
ngoja tuvute subra maana marks wanakadilia kunaswal lina marks 5 na mengine 10 so inategemea yeye atakukadilia marks ngap
 
Mkuu soma data na information tofaut zake
Introduce yourself
Na maswali mengine yakijingajinga ila kwa ngeli mkuu..ingawa Wana maswali mengi saana kwahyo yanatofautiana mmoja badala ya mwingine
Ahsante mkuu.Wewe walikuuliza maswali gani? Unaweza kukumbuka?
 
Back
Top Bottom