Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

mimi wameniuliza sensa ya mwsho ilifanyika mwaka gani ni kamjbu 2012 ,,je,ikitokea ukapangiwa eneo jingine utakubali?nikajibu nitakubali,akaniandikia makisi ,akaniambia tayari tushamaliza,nikasema asante nikaondoka.
Dah afadhali wewe.
 
Aisee Unemployment is real wakuu

Hapa kata ya Mbagala kuu walioitwa kwenye usaili nafasi ya karani wa sensa ni 700+,Nafasi za maudhui ni 200+ na wataalamu wa Tehama ni 200+
Angalia tu na location yenyewe ni mjini

Dar es laam watu wapo wengi

Kuna sehemu huko vijijini walioitwa kwenye usaili hawafiki 100 hapo watachukuliwa wote plus kuongeza watumishi wafike max 50 wanaohitajika


Lakini nyengine watu 700

Hapo connection inakuwa kubwa
 
Sema kama ipo ipo tu

Japo ni kauli ya kujifariji [emoji3]
 
Kupata mkopo mwisho ni miaka mingapi?
 
Niko zangu mbwinde huku vijijini nakula Bata kazi uhakika.
 
Aisee Unemployment is real wakuu

Hapa kata ya Mbagala kuu walioitwa kwenye usaili nafasi ya karani wa sensa ni 700+,Nafasi za maudhui ni 200+ na wataalamu wa Tehama ni 200+
Acha uongo tehama hawafiki 200 hata idadi ya wilaya nzima ya temeke hawafiki 100 walofanya interview kwa wilaya ya temeke

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
sahihi kabisaa,lakini wewe huko unaendeleaje na pia pole sanaaaa kwa kukatwa jina lako.
Me sijakata ila Nilikuwa safarini kikazi halafu kwa nafasi niliomba ya maudhui nilishatonywa nisijisumbue...Nafasi za maudhui ni chache na zimechukuliwa na jopo la usaili automatic...riziki zangu mkuu NI ndefu Kuna mamilion yangu yanakuja soon ya Nini nikapambane kwenye foleni halafu najua kbs nitakatwa....hafu hatukuwa wengi tulikuwa 70 halafu ktk kata yetu Kuna mitaa 10....means kila mtaa wangetoka watatu jumla 30 ningeweza kubahatisha ila nafsi ikanisuta acha niwaachie jobless wapate hela za kulima wenye akili lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…