jamesmisana
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 120
- 159
Kwamb maswal lazim yawe matano?hamna lazma kuna swali la kimitego unaulizwa jumla yanakua 5 mkuu,,hesabu vizuri mambo uliyokua unaulizwa.
Ni kwel chifu, ila huku kwetu kuna watu wengine wameulizw mpak swal moja tuu, wengine matatu ,wengine manne. Sasa hizo marks 50 ndo nikauliz zinatolew VIP. Ikiw kuna MTU kaulizw anamiaka mingapi tuu then usail ukaisha. Kwhyo huyu anapata 50 zotewengine unaulizwa tu nje ya sensa basi ili mradi akuangalie upeo wako ukoje wa kufikri na umakini wako confidence n.k
Nashkuru mungu usaili ulikwenda Vizuri sana kwa upande wangu nilijibu clearly maswali yote na nilistuka na kufurahi zaidi pale baada ya kumaliza msimamizi mkuu alivyonambia umechangamka Sana hajamaliza akaniambia tena you have a lots of confindence, Mungu ni mwema Sana,msaili alitokea kunikubali nilikuwa mcheshi nimejibu maswali bila kufukiria na nilikuwa nikijibu huku nikitabasamu
Kata nzima majina ndo hayo tu mkuu?
Nilichogundua nafasi za msimamizi wa maudhui zilikuwa hazihitajiki basi walioomba wote na waliofanya usahili imekula kwaoKata nzima majina ndo hayo tu mkuu?
Huu ni ujinga wa NBS kwanini waruhusu watu kuomba nafasi ambazo tayari Zina watu?Nilichogundua nafasi za msimamizi wa maudhui zilikuwa hazihitajiki basi walioomba wote na waliofanya usahili imekula kwao
Hata mm nimeshangaa mi niliulizwa matatu tuHizo marks 50 wanazitoa vipi?ikiwa kuna wengine wameulizwa maswal mawil, wengine matatu tuu. Wengine manne?
Hawa watu hawa daah [emoji16]fununu majina ya waliopita yametoka leo,kuanzia jumatatu mkeka utatoka ila kuna wizi wizi flani utakuwepo na walimu wanachomekwa baadhi ya sehemu hata ambao hawakuwepo kwenye usaili lazma walimu wawepo zaidiiii.
Dah kweli imekula kwangu hadi hapoLazima ujibu bila kufikiria si tayari ulikua umemeza possible[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nimeulizwa kumihamna lazma kuna swali la kimitego unaulizwa jumla yanakua 5 mkuu,,hesabu vizuri mambo uliyokua unaulizwa.
Pressure inasoma ngapi hapo mkuu😂😂😂Wale wa wilaya ya moshi vijijini ukipata any headlines post hapa
Maswali kumi utafikili nilikua necta dah halafu anaeuliza ni mkuu wa shule alienisaidia kutuma maombi anaefuqtia mkuu wa shule jiran tulienda kucheza ball tukatia fujo shuleni kwao anaefuqtia m/kata ana kisirani na mzee ,, [emoji26]Hizo marks 50 wanazitoa vipi?ikiwa kuna wengine wameulizwa maswal mawil, wengine matatu tuu. Wengine manne?
Kuna baadhi ya maswali ukiulizwa ukijibu tofauti na jibu msaili anaruhisiwa kusitisha usaili hata kma ilikuwa ndiyo swali lako la kwanza kuulizwa,mfano mdogo unaulizwa upo tayar kufanya kazi ya sensa kwa uzalendo bila kulipwa umejibu hapana siwezi,[emoji2]Ni kwel chifu, ila huku kwetu kuna watu wengine wameulizw mpak swal moja tuu, wengine matatu ,wengine manne. Sasa hizo marks 50 ndo nikauliz zinatolew VIP. Ikiw kuna MTU kaulizw anamiaka mingapi tuu then usail ukaisha. Kwhyo huyu anapata 50 zote
Walimu watatu tu
kama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tuKuna baadhi ya maswali ukiulizwa ukijibu tofauti na jibu msaili anaruhisiwa kusitisha usaili hata kma ilikuwa ndiyo swali lako la kwanza kuulizwa,mfano mdogo unaulizwa upo tayar kufanya kazi ya sensa kwa uzalendo bila kulipwa umejibu hapana siwezi,[emoji2]
Kuna swali sijui ni la 3 lile lina marks 20, mfano unaulizwa ikitokea simu yako ika stuck unafanyaje? Wao walikuwa wanataka utaje at least njia 2 ndo upate alama zote, ukitaja 1 tu unapewa 10.Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu
Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?