Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

fununu majina ya waliopita yametoka leo,kuanzia jumatatu mkeka utatoka ila kuna wizi wizi flani utakuwepo na walimu wanachomekwa baadhi ya sehemu hata ambao hawakuwepo kwenye usaili lazma walimu wawepo zaidiiii.
 
connection kwa wanaojaza maksi kama uko nao vizuri unapita kirahisi,
all in all ukifanikiwa shukuru mungu lakn uhuru[emoji41]unaendelea kuwepo.
 
wengine unaulizwa tu nje ya sensa basi ili mradi akuangalie upeo wako ukoje wa kufikri na umakini wako confidence n.k
Ni kwel chifu, ila huku kwetu kuna watu wengine wameulizw mpak swal moja tuu, wengine matatu ,wengine manne. Sasa hizo marks 50 ndo nikauliz zinatolew VIP. Ikiw kuna MTU kaulizw anamiaka mingapi tuu then usail ukaisha. Kwhyo huyu anapata 50 zote
 
Nashkuru mungu usaili ulikwenda Vizuri sana kwa upande wangu nilijibu clearly maswali yote na nilistuka na kufurahi zaidi pale baada ya kumaliza msimamizi mkuu alivyonambia umechangamka Sana hajamaliza akaniambia tena you have a lots of confindence, Mungu ni mwema Sana,msaili alitokea kunikubali nilikuwa mcheshi nimejibu maswali bila kufukiria na nilikuwa nikijibu huku nikitabasamu

Lazima ujibu bila kufikiria si tayari ulikua umemeza possible[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
20220724_060220.jpg
 
Nilichogundua nafasi za msimamizi wa maudhui zilikuwa hazihitajiki basi walioomba wote na waliofanya usahili imekula kwao
Huu ni ujinga wa NBS kwanini waruhusu watu kuomba nafasi ambazo tayari Zina watu?
 
fununu majina ya waliopita yametoka leo,kuanzia jumatatu mkeka utatoka ila kuna wizi wizi flani utakuwepo na walimu wanachomekwa baadhi ya sehemu hata ambao hawakuwepo kwenye usaili lazma walimu wawepo zaidiiii.
Hawa watu hawa daah [emoji16]

Sema nini wanatufundishia vijana wetu ngoja nitulie kwanza mdomo nimeufunga .sijasema chochote
 
Hizo marks 50 wanazitoa vipi?ikiwa kuna wengine wameulizwa maswal mawil, wengine matatu tuu. Wengine manne?
Maswali kumi utafikili nilikua necta dah halafu anaeuliza ni mkuu wa shule alienisaidia kutuma maombi anaefuqtia mkuu wa shule jiran tulienda kucheza ball tukatia fujo shuleni kwao anaefuqtia m/kata ana kisirani na mzee ,, [emoji26]
 
Ni kwel chifu, ila huku kwetu kuna watu wengine wameulizw mpak swal moja tuu, wengine matatu ,wengine manne. Sasa hizo marks 50 ndo nikauliz zinatolew VIP. Ikiw kuna MTU kaulizw anamiaka mingapi tuu then usail ukaisha. Kwhyo huyu anapata 50 zote
Kuna baadhi ya maswali ukiulizwa ukijibu tofauti na jibu msaili anaruhisiwa kusitisha usaili hata kma ilikuwa ndiyo swali lako la kwanza kuulizwa,mfano mdogo unaulizwa upo tayar kufanya kazi ya sensa kwa uzalendo bila kulipwa umejibu hapana siwezi,[emoji2]
 
kama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu

Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?
 
Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu

Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?
Kuna swali sijui ni la 3 lile lina marks 20, mfano unaulizwa ikitokea simu yako ika stuck unafanyaje? Wao walikuwa wanataka utaje at least njia 2 ndo upate alama zote, ukitaja 1 tu unapewa 10.
 
Back
Top Bottom