bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Wamemaliza leo mkuu?Dar walikuwa wanasubiri watendaji wa kata warydi kutoka kwenye mafunzi ngazi ya mkoa ili wafanye yao watoe kesho kutwa. [emoji16][emoji28]
Si majina yanarudishwa tena NBS au?Waliochaguliwa hawakufa interview na walio fanya interview hawakuchaguliwa
Mzee kuna halmashaur ukiona kmya ujue watu wanafanya yaoDodoma cc bado kimya
Dodoma hiyo ni kambi.Mzee kuna halmashaur ukiona kmya ujue watu wanafanya yao
Chenga ya macho 👀👀Si majina yanarudishwa tena NBS au?
Hamna namnaJana Pia Mitaa fulani walifanya kikao moja ya Agenda ni kuwapa nafasi kwenye Sensa UVCCM kikao kilifanyika ndani ya hoteli fulani maarufu na wamesisitiza sana japo Mtendaji hakuwepo alikuwa kwenye ufunguzi wa mafunzo ya sensa kwa wakufunzi
Diwani anahusikaje katika hili zoezi ndugu? Yaani katika zoezi la Sensa anasimama kama nani?Nasikia Uvccm wameomba nafasi wapewe hata kma usail hawakufanya,juzi kulikuwa na kikao chao wakampa diwani adi majina
Hahaaa,ngaz ya kata katika hili zoez diwan ndio top manyota ndani ya kataDiwani anahusikaje katika hili zoezi ndugu? Yaani katika zoezi la Sensa anasimama kama nani?
Umetoa wapi hiiKwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Umeitoa wapi hiiKwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Ustake kujua Sana imetoka wapi taarifa rasmi ndo hiyo au subiri semina ikianza ndo utaaminiUmeitoa wapi hii
Makenge humu yanakuja kutoa ramli from no where na kusepa kuna mmoja anajiita Mjombakenge aliwahi kuja mara moja na ramli yake na kusepa.Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
kama ni hivi acha watu wapambane.Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Hii haifungukiMakenge humu yanakuja kutoa ramli from no where na kusepa kuna mmoja anajiita Mjombakenge aliwahi kuja mara moja na ramli yake na kusepa.
Naona Bado sijui huku dar wanampango ganiDsm vipi wakuu ,lini mkeka unatoka ?