Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Makenge humu yanakuja kutoa ramli from no where na kusepa kuna mmoja anajiita Mjombakenge aliwahi kuja mara moja na ramli yake na kusepa.
 
Back
Top Bottom