MIMI NIMEPATA MUDA SI MREFU sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki nimepita.Humu hakuna hata mmoja aliyepata bila connection atoe mrejesho
Kuna KATA ambazo zimepeleka majina wilayani kwanza kabla ya kubandika?Tatizo majina yanachezeshwa sana [emoji4][emoji4], watendaji waliobandika majina baada tuu ya usaili kongole Sana kwao , Ila wale ambao yaliombwa wilayani Kwanza ndo kasheshe
Hongera mkuu tukumbukane katika ufalme.MIMI NIMEPATA MUDA SI MREFU sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki nimepita.
Dogo langu kapata pia bila connection. Ila jina lake limekosema herufi moja japo namba ya Simu anadai ni yakeHumu hakuna hata mmoja aliyepata bila connection atoe mrejesho
Ngoja tuone mwisho wa mechi nani anachukua nafasi ila ubabaishaji ni mwingi sana
Nyamagana mwanza.
Nyamagana mwanza.
Nyamagana mwanza. K
aiseeh mi nimetoboa maudhui pasipo connection ahsante mungu.na wamechukua maudhui wanne tuHakuna na hata ufanye vip hawakubadilishi labda kama una konekshen ya 10G
Jipe moyo mkuu..💪NBS , NBS , NBS nawaita mara tatu nimeweka kibando changu cha jero cha siku kuvizia mkeka kutokana na ramli yangu ,sasa mtanipa wakati mgumu mno..
Kwa nini unakuwa na mashaka na pasipokuwa na shaka?Dogo langu kapata pia bila connection. Ila jina lake limekosema herufi moja japo namba ya Simu anadai ni yake
Jina halisi ni HANAD ISSA JUMA
Wao Wameandika HAMAD ISSA JUMA ila NAMBA YA SIMU YA SIMU NI YA DOGO.
Sent
MUNGU AWAVUSHE PIA NANYIII ASEEEHKwa nini unakuwa na mashaka na pasipokuwa na shaka?
Hayo ni makosa ya uandishi tuu,
Kumbuka hadi online atatambulika kwa email address yake.
Huyo tayari, ondoa shaka kabisa.
Tusalie nasi tutoboe
Hakuna msosi mkuu catering ya kulisha watu wote hao pesa hatuna tunachofanya sisi kama sirikali tuna kupatia buku3 tu ya kula na maisha yanaendelea.Nimeliwa kichwa but nimepata kazi ya kugawa msosi kwa wanasemina kwa siku zao zote za mafunzo
dah noma kweliHakuna msosi mkuu catering ya kulisha watu wote hao pesa hatuna tunachofanya sisi kama sirikali tuna kupatia buku3 tu ya kula na maisha yanaendelea.
Jiandae kuhesabiwa
subiri baadae jioni ule mishikaki ya mbwa pale mahina center.Nyamagana bado wanajadili nani aende....bullshit.