Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nilivyoambiwa na mtendaji (rfk angu)
Huko utumishi watachagua kulingana na vigezo,then watayatuma kwa maafisa utumishi wa mkoa,kila mkoa/wilaya!
Then wao nao watachagua kwahiyo ni yaleyale!.
Mi hata siombi!
Nimechoka
We omba tu kila mtu kazaliwa kivyake
 
Kuna aliyefanikiwa kupokelewa simu na hawa customer service wa sensa?. Maana wana namba nyingi lakini zote nimeambulia patupu tangu asubuhi mpaka mda huu, nimeamua nilale kwanza nitaziamkia saa tisa usiku
Mi nimetoka chenga toka jana jioni
 
Ofisi zao zipo dodoma maeneo gani
 
Kuna aliyefanikiwa kupokelewa simu na hawa customer service wa sensa?. Maana wana namba nyingi lakini zote nimeambulia patupu tangu asubuhi mpaka mda huu, nimeamua nilale kwanza nitaziamkia saa tisa usiku
Namimi pia mkuu
 
Hatari sana
 
Kwenye form yangu picha sio coloured, nimescan na kutuma hivyo. Je, kuna shida?
 
Nilivyoambiwa na mtendaji (rfk angu)
Huko utumishi watachagua kulingana na vigezo,then watayatuma kwa maafisa utumishi wa mkoa,kila mkoa/wilaya!
Then wao nao watachagua kwahiyo ni yaleyale!.
Mi hata siombi!
Nimechoka
Kuna urasimu hapa. Nami nshanusa haruphuu
 
Ngoja nijaribu kufanya hivi mkuu
 
Nyie apply ila kwenye semina tunakutana mamamee, ela zenyewe haziingizwi kwa bank tutazipata tu
 
Nikimtuma mtu akifika pale inabidi asemeje reception, je Kuna kikwazo chochote atakumbana nacho? Maana ninavyojua customer care wapo Dar sio dodoma kule jangwani
mkuu takwimu house ni dom ukifika mapokezi kama hukupata option ya kudownload ile form unawaambia wanakuuliza namba ya simu kisha watakupatia nywila kazi inakuwa rahisi nimesha solve kesi mbili leo.
 
Mkuu Niko mbali naomba msaada wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…