Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Watu wanapata alaf wanasingizia mdogo wangu kapata 😊😊😊 , alafu mawaziri na wasaili tunao humu humu kwenye Uzi huu huu , daah hii nchi ngumu sana
kama unanisemea mimi sjaomba hizo mambo nina madogo wawili mmoja kaliwa kichwa tehama mmoja kapata karani usipende sana kuongea mambo usioyajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…