bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Emu hapaView attachment Ubungo.pdfMkuu hamna ulichowekq hqpa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu hapaView attachment Ubungo.pdfMkuu hamna ulichowekq hqpa
Mkuu kama unao mkeka wa moshi nauombaDogo wangu kapata ukarani kata ya Uru Kusini, hongera yake
kama unanisemea mimi sjaomba hizo mambo nina madogo wawili mmoja kaliwa kichwa tehama mmoja kapata karani usipende sana kuongea mambo usioyajuaWatu wanapata alaf wanasingizia mdogo wangu kapata 😊😊😊 , alafu mawaziri na wasaili tunao humu humu kwenye Uzi huu huu , daah hii nchi ngumu sana
hongera sanaNimetusua wakuu, nimepata ukarani, mungu ni mwema
Hamna kitu hapa mkuu
mie nipo mwisho wa mji hukufanya tuonane madam S,nipo makorora apa
Songea yametoka mda huu ,wale wa postcode wote ndani,hongera yaomie nipo mwisho wa mji huku
hongera zaoSongea yametoka mda huu ,wale wa postcode wote ndani,hongera yao
Huko wapi na wewe umebaha😅😅😂😂😂Vipi hukoo!???
mkuu 😂😂😂 usisikitike huwez jua Mungu anakuepusha na nini pengine ukapoteza tablet ya watu, au ukagongwa nagari wakat unaenda semina, shukuru songa mbeleWalimu walioomba Kazi ya sensa walaaniwe .....na watakufa na roho zao za kimasikini
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Madame S:mkuu 😂😂😂 usisikitike huwez jua Mungu anakuepusha na nini pengine ukapoteza tablet ya watu, au ukagongwa nagari wakat unaenda semina, shukuru songa mbele
Kwani si huwa unaona wanavyozeeka vibaya😂😂😂Walimu walioomba Kazi ya sensa walaaniwe .....na watakufa na roho zao za kimasikini
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app